Changamoto ya jeshi letu ni "shule ndogo". Wengi wa walio na vyeo tuwaonao ni failures O level, A level na lower levels universities. Uwezo wao wa ku-analyse issues ni mdogo mno.Mara nyingi ni matokeo kwa watawala wasiiofuata sheria. Wabadiri katiba ili wadumu mpaka wanachokwa na wapambe wao. Ni staili ya CCM.
Hapa kwetu linaongozwa na makada .
Ndio dawa yao!!yaani miezi michache tu iliyopita bunge limepunguza marupu rupu kwa wanajeshi na askari na kumuongezea rais!!Maisha magumu halafu wao wanaleta za kuleta. Watapinduliwa sana hadi watakapokuwa na akili za kuleta maendeleo.
Mkuu katika watu 5 kuna mgawanyo wa 3kwa2 au 2kwa3 hapo ndipo kuna wanao sherehekea na wasio shereheka!....
Wanasherehekea vipi basi?
Ni yeye humu kila siku anasema nchi haina Rais,[emoji1787][emoji1787]
....anajichanganya sana kwa chuki zake koko....Ni yeye humu kila siku anasema nchi haina Rais,
Leo anasema tena yule Rais wa Tz...
Mimi nashindwa kumuelewa .
Sent using Jamii Forums mobile app
siku zimekaribia.
Mzee hata huko Guine na kwingineko madikiteta wote wako linked kwenye strong institutionz za vyama vilivyoko madarakani.My friend you are wrong,remember in Tanzania all security apparatuses are CCM's wings.Hivyo sahau kitu Kama hicho hapa. Africa Magharibi wanajielewa wameanza Mali Sasa Guinea nadhani Cameroon na Ivory Coast wanafuata soon.
Unaliombea mabaya taifa lako Khaaa π²π²
π²π²π²siku zimekaribia.
Kuna watu wameitwa Magaidi huko wamefura kama mbogoπ²π²π²
Mmh wacha kututia hofu isiyopo ewe kijana wa "ufipa".....
Kuna watu wameitwa magaidi huko wamekuwa kama mbogo. Wanatukana njia nzimaNdio maana ligaidi linaendelea kusota kolokoloni.
Chini ya kina Hamzaπ€£π€£Unaliombea mabaya taifa lako Khaaa π²π²
Afrika ya magharibi ni "havoc".....
Mataifa ya magharibi huwa yanapanga hayo matukio ya Coup D'etat.....
Tanzania ni shwari chini ya CCM na hatujafika huko kwa wenzetu.....
#SiempreJMT
#HastaCCM