Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

Madrasa zimekuwa ni production za ujinga.
 
Ninachokumbuka mimi Netanyahu ameapa wote waliohusika na tukio la october 7 ni walking dead.
Watu tupo tunafuatilia live news kutoka vyombo mbalimbali vya kimataifa wanaonesha eneo jirani na ajali inaposemekana kutokea hali ni mbaya mno huwezi kuona hata mita kadhaa mbele.

Sasa hapo utamhusisha mtu kwamba amesababisha ajali? Mkuu jaribu japo mara moja moja kuwa independent thinking person inasaidia ku criticize mambo na kuepuka kuendeshwa na mihemko ama mahaba niuwe.
 
Projection ya weather inajurika, hata sisi kina mbonde huku matakoni mwa dunia tuliandaliwa na kimbunga Hidaya, iweje Taifa linalojinasibu ni super power wasijuwe swala la weather forecast?
 
Pole Raisi President.
 
Projection ya weather inajurika, hata sisi kina mbonde huku matakoni mwa dunia tuliandaliwa na kimbunga Hidaya, iweje Taifa linalojinasibu ni super power wasijuwe swala la weather forecast?
Hivi ni kweli umeshindwa kutofautisha namna weather condition inaweza kutofautiana?

Ipo ambayo inatabirika na isiyotabirika kutokana na hali halisi ya wakati huo.

Ulaya watu wanapewa updates za weather kila baada ya saa moja lakini ghafla hali inaweza kubadilika na ikawa kinyume kabisa na iliyotabiriwa.

Weather can change anytime tofauti kabisa na utabiri ulivyosema.

Haya ni mambo wanasoma Geography primary na secondary schools.
 
Helicopter sio usafiri wa kuuamini sana maana unauwa vibaya
Inaweza kuwa ajali na inaweza kuwa hujumu ila nafikiri ni ajali tu maana tumeshuhudia mpaka matajiri wakubwa zikiwagaragaza
Na nyie viongozi wenu wajitafakari maana ikianguka mimi nitajua ni ajali tu ingawa wapo wapiga ramli
 
Projection ya weather inajurika, hata sisi kina mbonde huku matakoni mwa dunia tuliandaliwa na kimbunga Hidaya, iweje Taifa linalojinasibu ni super power wasijuwe swala la weather forecast?
Ni sahihi hata mimi limenifikirisha sana. Inakuwaje kiongozi mkubwa wa nchi anaenda ziara kwenye eneo lenye Ukungu na baridi kali bila kuwa na uhakika wa usalama wake?

Nimewaza labda jamaa hana nguvu kimamlaka. Naomba nijifunze bro, yule Ayatoula ni nani? Yule anayepigaga mikwara Israel.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…