Amani Benson
JF-Expert Member
- Nov 21, 2023
- 658
- 1,502
Hakuna taarifa ya kifo mkuuAyatolah is Dead Hezbolah is Finished.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna taarifa ya kifo mkuuAyatolah is Dead Hezbolah is Finished.
Nimiongoni mwa hazina kwadunia iliyojaa wapuuzi wengi wa ulaya na AmerikaUsiombee hayo.Tutamkosa wa kutuchangamsha kwa soga mbili-tatu aisee!
Wanaficha lakini kilemba kilichojaa Damu kimeonekana.Hakuna taarifa ya kifo mkuu
Basi asife ili awakomeshe wapuuzi.Ni Rais Raisi.Nimiongoni mwa hazina kwadunia iliyojaa wapuuzi wengi wa ulaya na Amerika
Ayatullah ameusikaje hapoAyatolah is Dead Hezbolah is Finished.
Hujaona kile Kilemba kama Taulo?Ayatullah ameusikaje hapo
Mind yu IRAN ndo nchi yenye wayahudi wengi dunianiUsiwasingizie.Ni ajali tu.
Kwaajari za ndege mi naomba tu isiwe ivo mana kwenye ndege huwa ni 90% death 😔Wanaficha lakini kilemba kilichojaa Damu kimeonekana.
Amani inarejea Duniani.
Wanaficha lakini kilemba kilichojaa Damu kimeonekana.
Amani inarejea Duniani.
Acha utani na Ayatollah aisee!Hujaona kile Kilemba kama Taulo?
Ninachokumbuka mimi Netanyahu ameapa wote waliohusika na tukio la october 7 ni walking dead.Ayatolah kajaa kwenye 18 za Netanyahu.
Naona leo Netanyahu atashushia Whisky.Ninachokumbuka mimi Netanyahu ameapa wote waliohusika na tukio la october 7 ni walking dead.
Niko hapa Kigali naangalia TV ya Wairani Diaspora.Acha utani na Ayatollah aisee!
Unaweza kukuta hata wewe ni msomi. Kama umefika hata form four na kupata walau D mbili basi inashangaza.Ninachokumbuka mimi Netanyahu ameapa wote waliohusika na tukio la october 7 ni walking dead.
Hii Wairan wameshaandaliwa kisaikolojia, huyo Rais ni dead body, na anaweza kufa kwa kukosa msaada wa haraka.If President Raisi is not found alive, Vice-President Mohammad Mokhber will take his place, new elections will have to be called within the next 50 days - Iranian media