Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Mossad hii iliyo fail kuzuia Oktober 7 au Mossad ipiHapa MOSSAD wamefanya yao ,Israel ni taifa la Mungu
USSR
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mossad hii iliyo fail kuzuia Oktober 7 au Mossad ipiHapa MOSSAD wamefanya yao ,Israel ni taifa la Mungu
USSR
Alimwacha aingie ili awamalize Hamas😄 Hakuweza kumuona Yahya Sinwar akatengeneze mawingu kwenye border ya Iran na Azerbaijan, labda mawingu ya kishoga 😄
AmepataKwa hiyo yeye hajapata ajari?
"Enyi mlioamini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa marafiki na wasaidizi. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na yeyote miongoni mwenu anayejiunga nao basi yeye ni miongoni mwao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongozi watu wenye kudhulumu."Alimwacha aingie ili awamalize Hamas
Waliokufa hao elfu moja walitolewa kafara ili Israel ili apate justification aue maelfu ya wapalestina aendeshe genocide na kuhakikisha Hamas wanapotea
Wangewezaje ku justify vita ya kuua vi Hamas na vimke vyao na vitoto vyao ambavyo ndio wanavirithisha kuwa vigaidi vya kesho
Waliacha mlango wazi wapate sababu ya kuendesha genocide Gaza
Wale wamekufa na kutekwa wametumika kama kafara au chambo
Unavoipamba Mossad. Washindwe kuzuia Wayahudi 1400 kuuwawa October 7 wafanikiwe kuwaua rais wa Iran na waziri wake. Huu ujinga mnaupataga wapi?Hutasikia Mossad, wala Aman kitengo cha utambuzi / military intelligence au Shin Bet usalama wa ndani wa Israel wakisema lolote lililotojea leo katika msafara wa helicopter 3 zilizokuwa
Hata wachokozwe vipi si Bibi Netanyau wala hizo idara tatu muhimu za usalama Israel zikitia neno. Ni siri kubwa isiyotakiwa kufahamika na yoyote idarani wala wanasiasa waliotoa idhini, operesheni itabaki katika makabrasha yaliyofungiwa kwa fungua pacha, kufuli na Code kwa miaka kibao kwa ajili ya kuficha taarifa hizo muhimu kwa usalama wa Israel.
Hata Iran ikingamua kuna mkono wa nje unahusika nao watajifanya ni ajali kwa kuwa michezo hii ya kijasusi haihitaji hasira wala mihemuko bali kujifunza wapi wamejikwaa au kufanikiwa, kimya kimya bila kupuga kelele huku ukijikakamua kuwa siyo mkono wa maadui bali kazi ya Mungu huku wanaugulia maumivu na kuwajibishana kwa siri
Enyi mlioamini uongo Mizimu ya Africa inasema imekula kwenu..."Enyi mlioamini
Ayatolah kajaa kwenye 18 za Netanyahu.Ali beep.
Wenzake wamefanya kweli.
Mkuu, vita iache kama ilivyoYaani Israel washindwe kuzuia mamia ya makombora na drones ndani ya ardhi yao tena baada ya kupewa onyo kwamba watashambuliwa na wakaimarisha ulinzi wa anga nchi tano lakini mzigo ukatua Israel na kupiga target zote halafu eti waweze kufanya assassination ya Rais wa nchi tena Iran?
Big No. Hiyo ni ajali kama ajali zingine za ndege ambazo zimetokea hata mataifa makubwa zaidi ya Iran.
Haya Mayahudi feki ya jamiiforums ni mapunguani kabisa.Israeli iliogopa kujibu mashambulizi ya iran huo ndo ukweli. Hayo mengine mnayo tuletea hapa ni stori za kahawa
"Enyi mlioamini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa marafiki na wasaidizi. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na yeyote miongoni mwenu anayejiunga nao basi yeye ni miongoni mwao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongozi watu wenye kudhulumu."Enyi mlioamini uongo Mizimu ya Africa inasema imekula kwenu...
Haya maneno yametoka kichwani kwako au kwenye hadisi za mtume?"Enyi mlioamini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa marafiki na wasaidizi. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na yeyote miongoni mwenu anayejiunga nao basi yeye ni miongoni mwao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongozi watu wenye kudhulumu."
Enyi mlioamini kuwa Ubwabwa ndio Mungu jichungeni kukabwa na Nyama zenye mifupa.Enyi mlioamini!
Mkuu kuna watu hasa mayahudi ya haya ya jamiiforums yamekatwa vichwa maana hayana uwezo wa kuwa Independent thinking.Mossad hii iliyo fail kuzuia Oktober 7 au Mossad ipi