Morogoro kaskazini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2020
- 2,392
- 9,187
Israeli iliogopa kujibu mashambulizi ya iran huo ndo ukweli. Hayo mengine mnayo tuletea hapa ni stori za kahawaWataalamu wameshafanya yao, haiwezekani ukaishambulia Israel kukaponyoka.
Na kawaida vyombo vyote vikubwa idara ya usalama wa taifa kurugenzi ya ndani na kurugenzi ya mambo ya nje huwa hawakubali wala kukataa kama wao wanahusika.
Nia ni kuwaweka adui katika sintofahamu kwani vyombo hivyo vya kijasusi vikukubali kuhusika huwa unampa adui wapi wajitafakari hawakuwa makini