Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

Watu wanashangaza kweli.
Hii ni ajali kama ajali zingine,Israel hahusiki.
Mnadhani rais wa Iran sawa na wanamgambo wa Lebanon ama makamanda wa Lebanon?
Fikirieni makamanda wa IRGC tu walipouawa Syria Iran alifanya massive strikes je akiguswa kiongozi itakuaje!?
Punguzeni kuropoka.
 
Punguza makasiriko, kwisha huyo
 
Taarifa zinaonekana kuwa unclear.
Maana vyombo vingine vyasema moja wapo ya helicopter ya msafara wa raisi imetua vibaya na kupata ajali kutokana na hali mbaya ya hewa.
Na haijathibitika kama rais alikuwemo humo.
Screenshot_2024-05-19-17-59-48-49_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
 
Yule Muhammad Reza na shoga yake walioliwa vichwa pale ubalozini Syria walikuwa sungusungu sio?
Muhammed Reza alikua Shah wa mwisho kabla ya kufanyika mapinduzi 1978.
Unamzungumzia Muhammed Reza yupi??
Nazungumzia viongozi kama rais,waziri n.k n.k.
Pia umeona kwa wanajeshi tu kuuliwa hapo ubalozini Syria Iran imefanya shambulio kubwa Israel ambalo mataifa zaidi ya matatu yamesaidia kulizima.
Sasa pata picha aguswe kiongozi
mkubwa wa serikali pimia majibu yatakuaje,kama wanajeshi tu wanalipiwa kisasi.
 
Kw
Muhammed Reza ni kiongozi mkubwa katika serikali!?
Nazungumzia viongozi kama rais,waziri n.k n.k.
Pia umeona kwa wanajeshi tu kuuliwa hapo ubalozini Syria Iran imefanya shambulio kubwa Israel ambalo mataifa zaidi ya matatu yamesaidia kulizima.
Sasa pata picha aguswe kiongozi
mkubwa wa serikali pimia majibu yatakuaje,kama wanajeshi tu wanalipiwa kisasi.
Kwahiyo wewe unaweza kumfananisha General Mwakibolwa ( kabla hajastaafu) na Nape Nnauye?
 
Back
Top Bottom