Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

Helikopta iliyombeba rais wa Iran Ebrahim Raisi imepata ajali. Vyombo vya habari vinafuatilia kama alikuwemo kwenye hiyo helikopta.

Helicopter in Iranian president's convoy crashes - state media​


Helicopter carrying Iranian president crashes – reports​


The aircraft with Ebrahim Raisi on board suffered a “hard landing,” according to some media

 
Imethibitishwa kuwa raisi wa Irani alikuwa ndani ya helicopter hiyo iliyopata ajali.

Vikosi vya uokoaji vimeshindwa kutambua na kufika neo husika ilipotokea ajali hiyo kwa sababu ya hali mbaya ya hewa.

Wengine waliokuwa kwenye helicopter hiyo ni pamoja na Governor wa East Azarbaijan, Ayatollah Al-Hashem waziri wa mambo ya nje ya Iran Hossein Amir-Abdollahian.
..Rais wa Iran aitwaye Raisi...
Tuombee Mwenyezi Mungu awe ameepushilia mbali mabalaa yatokanayo na chopper crash!
 
Back
Top Bottom