Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

Nimeona hii taarifa kwa jamaa wa clash report hapo X nikaidharau nikijua ni fix?.
Screenshot_2024_0519_174007.jpg
 
Naona kwenye Uzi wa Ukraine umechapa rapa baada ya kipondo Cha vidume vya Russia

Kule hamna jipya kama mpaka leo Urusi bado anaendelea kufia kwenye nchi ya watu....mlishindwa vibaya sana nyie na mlivyokua mnamtegemea Mrusi kwenye kuwalinda mkiendelea na maugaidi ya dini yenu.
Huku tumemla rais wenu.....
Amekwenda kugegeda yale mabikira yenu

597779
 
Imethibitishwa kuwa raisi wa Irani alikuwa ndani ya helicopter hiyo iliyopata ajali.

Vikosi vya uokoaji vimeshindwa kutambua na kufika neo husika ilipotokea ajali hiyo kwa sababu ya hali mbaya ya hewa.

Wengine waliokuwa kwenye helicopter hiyo ni pamoja na Governor wa East Azarbaijan, Ayatollah Al-Hashem waziri wa mambo ya nje ya Iran Hossein Amir-Abdollahian.
Unadhani Israel ni wajinga! Kisasi hicho! Hamas sasa wanalo
 
Back
Top Bottom