Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

Wataalamu wameshafanya yao, haiwezekani ukaishambulia Israel kukaponyoka.

Na kawaida vyombo vyote vikubwa idara ya usalama wa taifa kurugenzi ya ndani na kurugenzi ya mambo ya nje huwa hawakubali wala kukataa kama wao wanahusika.

Nia ni kuwaweka adui katika sintofahamu kwani vyombo hivyo vya kijasusi vikukubali kuhusika huwa unampa adui wapi wajitafakari hawakuwa makini
 
Modus operandi / Operesheni za Usalama wa Taifa ndani na nje

Spymaster wa intelejensia India anaelezea majasusi makini hawashangilii wanapofanikiwa ktk operasheni bali hunyamaza na kujifanya hawajui lolote hata wakinyooshewa vidole kamwe hawazungumzi wala kujibu kwa neno hata moja pia hata ishara hawaoneshi wanakausha kama vile siyo wao.

Pia wanapoteleza hapo ndiyo huwa darasa linawekwa kujifunza idarani, kwanini ilifeli operesheni ili wakifanya tena operesheni mfanano wafanikiwe malengo.


View: https://m.youtube.com/watch?v=RqZP-QZ9lx8
Nguli ulinzi na usalama wasema huu ni wakati wa tahadhari kubwa katika dunia ya sasa

View: https://m.youtube.com/watch?v=oKhCiq77GNw
Security experts Lt. Gen. Raj Shukla (Retd.) former GOC of Army Training command who is also an expert on counter-insurgency operations, along with former commanding officer of TSD, Indian Army Col. Hunny Bakshi deciphers the unprecedented and surprise attack

modus operandi : a particular way or method of doing something.
"every killer has his own special modus operandi"
 
Kule hamna jipya kama mpaka leo Urusi bado anaendelea kufia kwenye nchi ya watu....mlishindwa vibaya sana nyie na mlivyokua mnamtegemea Mrusi kwenye kuwalinda mkiendelea na maugaidi ya dini yenu.
Huku tumemla rais wenu.....
Amekwenda kugegeda yale mabikira yenu

597779
Wewe jamaa ni mufisilisi wa akili unadhani Kila mtu ni mwisilam?
 
Kule hamna jipya kama mpaka leo Urusi bado anaendelea kufia kwenye nchi ya watu....mlishindwa vibaya sana nyie na mlivyokua mnamtegemea Mrusi kwenye kuwalinda mkiendelea na maugaidi ya dini yenu.
Huku tumemla rais wenu.....
Amekwenda kugegeda yale mabikira yenu

597779
Hakuna jipya wakati mashoga wenzako wanatembezewa kichapo?
 
Ugumu wa Rais Raisi kupatikana ni kutokana na ndege hiyo kuruka bila kuwasha transponder, hivyo kujulikana walipo na hili giza sidhani.

Mshangao helicopter 2 ziliweza tua zilipokuwa zinaenda
 
Back
Top Bottom