Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

Sawa mke wa Netanyau.

Hutasikia Mossad, wala Aman kitengo cha utambuzi / military intelligence au Shin Bet usalama wa ndani wa Israel wakisema lolote lililotojea leo katika msafara wa helicopter 3 zilizokuwa

Hata wachokozwe vipi si Bibi Netanyau wala hizo idara tatu muhimu za usalama Israel zikitia neno. Ni siri kubwa isiyotakiwa kufahamika na yoyote idarani wala wanasiasa waliotoa idhini, operesheni itabaki katika makabrasha yaliyofungiwa kwa fungua pacha, kufuli na Code kwa miaka kibao kwa ajili ya kuficha taarifa hizo muhimu kwa usalama wa Israel.
 
UNACHOKOZA ISRAEL UNATEGEMEA NINI🤣
Israel akiwa na ugomvi na Iran sababu Iran anajifanya super power nchi za kiislamu halengi raia wa Iran kivita kwake raia wa kawaida wa Iran ni Low value targets Israel analenga High value targets magenerali wa Iran na viongozi wa Serikali ya Iran. anawaacha wananchi wa kawaida wa Iran wale maisha yao as usual

Na Israel akipiga high value target Huwa kimya hatoi press statement yeyote
 
Wataalamu wameshafanya yao, haiwezekani ukaishambulia Israel kukaponyoka.

Na kawaida vyombo vyote vikubwa idara ya usalama wa taifa kurugenzi ya ndani na kurugenzi ya mambo ya nje huwa hawakubali wala kukataa kama wao wanahusika.

Nia ni kuwaweka adui katika sintofahamu kwani vyombo hivyo vya kijasusi vikukubali kuhusika huwa unampa adui wapi wajitafakari hawakuwa makini
Yaani Israel washindwe kuzuia mamia ya makombora na drones ndani ya ardhi yao tena baada ya kupewa onyo kwamba watashambuliwa na wakaimarisha ulinzi wa anga nchi tano lakini mzigo ukatua Israel na kupiga target zote halafu eti waweze kufanya assassination ya Rais wa nchi tena Iran?

Big No. Hiyo ni ajali kama ajali zingine za ndege ambazo zimetokea hata mataifa makubwa zaidi ya Iran.
 
Sawa mke wa Netanyau.
Hutasikia Mossad kitengo cha ujasusi wa nje, wala Aman kitengo cha utambuzi / military intelligence (MI) au Shin Bet usalama wa ndani wa Israel wakisema lolote lililotojea leo katika msafara wa helicopter 3 zilizokuwa katika msafara wa Rais Raisi wa Iran.

Hata wachokozwe vipi si Benjamin almaaruf (Bibi) Netanyahu wala hizo idara tatu muhimu za usalama Israel zikitia neno. Ni siri kubwa isiyotakiwa kufahamika na yoyote idarani wala wanasiasa waliotoa idhini, operesheni itabaki katika makabrasha yaliyofungiwa kwa fungua pacha, kufuli na Code kwa miaka kibao kwa ajili ya kuficha taarifa hizo muhimu kwa usalama wa Israel.

Hata Iran ikingamua kuna mkono wa nje unahusika nao watajifanya ni ajali kwa kuwa michezo hii ya kijasusi haihitaji hasira wala mihemuko bali kujifunza wapi wamejikwaa au kufanikiwa, kimya kimya bila kupiga kelele za kuumia huku wakijikakamua kuwa siyo mkono wa maadui bali kazi ya Mungu huku lakini wanaugulia maumivu na kuwajibishana kwa siri
 
Nimeangali vyombo vikubwa vya habari hii taarifa haipo.
Kama chombo kikubwa kwako ni Tv Imaan unatarajia utaona habari kama hiyo?

Kuvimba kote kwa Iran masaa kibao mpaka sasa wameshindwa kufika ilipoanguka hiyo chopa, sasa hata hao wamejeruhi si lazima wafe kwa kuvuja damu nyingi?

Ndio huwa nashangaa vinchi kama hivi Iran unataka kumvimbia Mmarekani wakati rescue ya Rais wao tu inawashinda.

Hili tukio limewaacha uchi Iran walivyokuwa overrated na wavaa kobanzi.
 
Kama chombo kikubwa kwako ni Tv Imaan unatarajia utaona habari kama hiyo?

Kuvimba kote kwa Iran masaa kibao mpaka sasa wameshindwa kufika ilipoanguka hiyo chopa, sasa hata hao wamejeruhi si lazima wafe kwa kuvuja damu nyingi?

Ndio huwa nashangaa vinchi kama hivi Iran unataka kumvimbia Mmarekani wakati rescue ya Rais wao tu inawashinda.

Hili tukio limewaacha uchi Iran walivyokuwa overrated na wavaa kobanzi.
acha wehu huo? markeani akitaka kupigana anaomba mataifa yote yamuungnge mkono, yeye kama yeye moga hatari. mfano vita vya Vetnam
 
Back
Top Bottom