Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

Wakati Houthi anafunga Bahari na kuzuia Meli zisije Afrika ya Mashariki kwa Amri ya Ayatolah huo ni UTU?!
Mkuu mbona unapendaga kuongopa!?
Meli zinazokuja Afrika mashariki hazipiti Baab Al mandib embu acha kuongopa.
Baab Al mandib hupita meli ziendazo Ulaya.
 
Hizo zinaitwa inside job, kwa akili za Madrasa huwezi kulielewa hilo.

Hata Waziri mkuu wa Israel alishauwawa kwa risasi na kijana wa kiyahudi.
Akili za madrasa ndo ziliniwezesha kuzunguka baba yako mpaka nikawa baba yako wa kambo mbweha ww.

Sasa kama viongozi hao walisha uliwa na wahuni wa mitaani pamoja na ulinzi mkali walio nao unashangaa nini rais wa Iran kufa kwa ajali?

Yaani pamoja na kujifanya mjuaji unashindwa kujua kuwa hali ya hewa huwa ina badilika kila baada ya muda mchache,hiyo si elimu inayo fundishwa secondary?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…