Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

Hongera kwa kuropoka maana hapa haizungumziwi dini inazungumziwa taifa.
Hapo Iran kuna mpaka raia wa kikristu wanamuombea kiongozi wao arudi salama.
Yaonekana kijana wa balehe wewe.
images and videos have confirmed that Iranian President Ebrahim Raisi and his companions were riding a US-manufactured Bell 212 helicopter. The two-blade aircraft is a medium-sized helicopter that has a 15-seat capacity, with one pilot and fourteen passengers.
Upon Iranian request for assistance we are activating the
's
@CopernicusEMS
rapid response
mapping service in view of to the helicopter accident reportedly carrying the President of #Iran and its foreign minister.
 
Usiwaamini CNN au media yeyote ya West hao wanaichukia sana Iran .hili tukio watalitumia effectively kusambaza propaganda.
 
Hii ndo sababu huwa nazidharau tu harakati za mwanadamu. Hayo mataifa makubwa wakiwa wanautangaza na kuutambia uwezo wao kimedani huwa wana mbwembwe nyingi kweli unaweza sema hawa sasa imebaki tu kuumba wanadamu na kufufua wafu, kumbe madhaifu kibao.

Imagine watu wana vifaa kibao vya kivita ambavyo ni vya kisasa kabisa, vilivyoundwa kwa teknolojia ya hali ya juu sana (utasikia "kombora hili linapenya hadi sehemu fulani na linavuka vikwazo fulani bila kuzuilika"), lakini leo ajali ya helikopta tu tena iliyombeba rais wa nchi, bado watu hawana uwezo wa kufika eneo la tukio kwa masaa kadhaa kwa sababu ya hali ya hewa! Na wanauhitaji hadi msaada wa wanakijiji!

Kweli maisha ni ubatili mtupu.

Kumbe ndo maana huku kwetu uswekeni huwa wanasitisha zoezi la 'uokozi' kwa sababu ya giza na kwenda kulala ili kesho waendelee na zoezi la 'uopozi'.
 
Uturuki katoa chopa 1 yenye night vision expert 32 wa milimani na gari 6, taarifa zitajulikana kesho, ila kwa halibya hewa ile raisi waliruhusu vipi asafiri
 
God Bless Israel
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…