Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Huna source zozote unachungulia TV za marekani unakuja kutudanganya hapa JF.Ingezijua sources zangu zilivyonyooka kama Rula usingesema hivyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna source zozote unachungulia TV za marekani unakuja kutudanganya hapa JF.Ingezijua sources zangu zilivyonyooka kama Rula usingesema hivyo.
images and videos have confirmed that Iranian President Ebrahim Raisi and his companions were riding a US-manufactured Bell 212 helicopter. The two-blade aircraft is a medium-sized helicopter that has a 15-seat capacity, with one pilot and fourteen passengers.Hongera kwa kuropoka maana hapa haizungumziwi dini inazungumziwa taifa.
Hapo Iran kuna mpaka raia wa kikristu wanamuombea kiongozi wao arudi salama.
Yaonekana kijana wa balehe wewe.
Huyo sio Ayatollah,,,,huyo ni rais tu Ayatollah ndo anamuweka huyo madarakaniAyatolah is Dead Hezbolah is Finished.
Usiwaamini CNN au media yeyote ya West hao wanaichukia sana Iran .hili tukio watalitumia effectively kusambaza propaganda.Hamas voices "great concern" over Iranian president's helicopter crash
From CNN's Abeer Salman
Hamas issued a statement expressing "great concern" after a helicopter carrying Iranian President Ebrahim Raisi and other Iranian officials crashed on Sunday.
Details about the crash are still murky, and Hamas expressed "solidarity" toward the president and the "brotherly Iranian people."
Ana mambo ya hovyo, sio kawaida kumuombea rais wa nchi kifo.Nimeangalia mtandao wa X wananchi wa iran wanaombea Rais rais afe
Hii sio sawa
Anachaguliwa si kuteuliwa.Tofautisha
1. Ayatollah - Top in command (Mkuu wa nchi),
2. Raisi - 2nd in command (anateuliwa na Ayatollah).
Unajua mwenyewe ulikua unamaanisha nini.Mpango wa nini mkuu?
Wewe utabaki peke yako pamoja na Hao mashoga wa kizayuni
Hii ndo sababu huwa nazidharau tu harakati za mwanadamu. Hayo mataifa makubwa wakiwa wanautangaza na kuutambia uwezo wao kimedani huwa wana mbwembwe nyingi kweli unaweza sema hawa sasa imebaki tu kuumba wanadamu na kufufua wafu, kumbe madhaifu kibao.BREAKING: WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA IRAN (VAHIDI) AKIHUSU AJALI YA RAIS RAISI
“Bado hatujafikia lengo la ajali.
Baada ya ajali hiyo, vikosi vyote viliunganishwa kwa helikopta ya rais, vikundi vyote, ikiwa ni pamoja na IRGC, jeshi, Faraja, Hilali Nyekundu, vikosi maarufu na wanakijiji wote, kwa hiari na kwa nia wanatafuta mahali ilipotokea helikopta ya rais.
Ikizingatiwa kuwa eneo hilo lina mteremko mkali na wenye misitu na kwa upande mwingine tunashuhudia mvua kubwa, eneo la kuona ni mdogo sana na kwa sababu hiyo, vikosi vya uokoaji kwa bahati mbaya bado havijafikia hatua inayotarajiwa, lakini vikosi vina uwepo mkubwa katika eneo hilo na tunatumai Kwa maombi ya watu wapendwa, watafika eneo la ajali haraka iwezekanavyo."
FOX huwa haina longo longo.Huna source zozote unachungulia TV za marekani unakuja kutudanganya hapa JF.
Labda Israel ya buzaIsrael hawezi kusubutu kufanya hayo kwa Iran, hio imetokana na hali ya hewa mbaya au matatizo ya helicopter yenyewe inaonyesha ya zamani sana.
Western media kidogo bbc nawafatilia wengine wanazingua sanaFOX huwa haina longo longo.
Tito gani huyo ambaye ni nabii wangu..❗❓ Manabii kama wapo ni wa Mungu watakuwaje wangu tena.😛😛Kwani yangemkuta Nabii wako Tito pangetosha?
God Bless IsraelBREAKING: WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA IRAN (VAHIDI) AKIHUSU AJALI YA RAIS RAISI
“Bado hatujafikia lengo la ajali.
Baada ya ajali hiyo, vikosi vyote viliunganishwa kwa helikopta ya rais, vikundi vyote, ikiwa ni pamoja na IRGC, jeshi, Faraja, Hilali Nyekundu, vikosi maarufu na wanakijiji wote, kwa hiari na kwa nia wanatafuta mahali ilipotokea helikopta ya rais.
Ikizingatiwa kuwa eneo hilo lina mteremko mkali na wenye misitu na kwa upande mwingine tunashuhudia mvua kubwa, eneo la kuona ni mdogo sana na kwa sababu hiyo, vikosi vya uokoaji kwa bahati mbaya bado havijafikia hatua inayotarajiwa, lakini vikosi vina uwepo mkubwa katika eneo hilo na tunatumai Kwa maombi ya watu wapendwa, watafika eneo la ajali haraka iwezekanavyo."
Israel caused the fog that led to the crash,isreal is so powerful that even weather listens to them.Km israeli imemlipua kiongozi wa iran
Israeli ijiandae na kipigo cha mbwa mwizi
Hii ndo sababu huwa nazidharau tu harakati za mwanadamu. Hayo mataifa makubwa wakiwa wanautangaza na kuutambia uwezo wao kimedani huwa wana mbwembwe nyingi kweli unaweza sema hawa sasa imebaki tu kuumba wanadamu na kufufua wafu, kumbe madhaifu kibao.
Imagine watu wana vifaa kibao vya kivita ambavyo ni vya kisasa kabisa, vilivyoundwa kwa teknolojia ya hali ya juu sana (utasikia "kombora hili linapenya hadi sehemu fulani na linavuka vikwazo fulani bila kuzuilika"), lakini leo ajali ya helikopta tu tena iliyombeba rais wa nchi, bado watu hawana uwezo wa kufika eneo la tukio kwa masaa kadhaa kwa sababu ya hali ya hewa! Na wanauhitaji hadi msaada wa wanakijiji!
Kweli maisha ni ubatili mtupu.
Kumbe ndo maana huku kwetu uswekeni huwa wanasitisha zoezi la 'uokozi' kwa sababu ya giza na kwenda kulala ili kesho waendelee na zoezi la 'uopozi'.
Wengine wanaogopa kumkasirisha Ayatolah kwasababu kawapa Mkopo wa bila riba.Western media kidogo bbc nawafatilia wengine wanazingua sana