Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

Hii ajali inafuatiliwa sana na marekani, Israel na other Western. Kitisho kipo nje ya Iran siyo ndani.

Assume amekufa, ni kitisho kipi kwa Iran! Think as grown up! Akiwa hai maybe ndio tishio! System ya Iran hata mrithi anajulikana, sasa ni tishio lipi hilo! ?
 
Iran sio waarabu, elewa hilo! Pia kama vipi kaungane na wale makafiri wanaouwa watoto, wamama na wazee wasio na hatia utakipata kama kilichowapata wale wa Kaskazini.
wakati hao watoto wamama wazee wakiuwawa wanaowalinda huwa wapo wap kuwalinda au hawana walinzi ,iwe wapiganaji, mgambo au hata wanajeshi, au basi wanaume tu hata wasio na mafunzo kamili huwa hao woote hawapo wapate kuwalinda? au wanawalinda ila ndo uwezo unakuwa umefika mwisho?
 
Atatua salama msijali
 
Attachments

  • Screenshot_2024-05-19-23-11-48-64_0b2fce7a16bf2b728d6ffa28c8d60efb.jpg
    Screenshot_2024-05-19-23-11-48-64_0b2fce7a16bf2b728d6ffa28c8d60efb.jpg
    358.1 KB · Views: 2
Baadhi ya ripoti kuhusiana na helikopta iliyoanguka ikiwa na rais wa Irani ilikuwa ni ya Mmarekani 🇺🇸 Bell 412 🙄

Kwanini Helikopta ya kutengenezewa ya Marekani ilitumika kwa Rais??
Kosugi hebu tupe elimu kwanini helikopta ya kutengenezewa ya Marekani tena kuukuu ilitumika kwa Rais wa iran wakati iran ni nchi yenye teknolojia yahli ya juu mnoo?
 
Qatar,Saudi Arabia na Turkiye wameongeza msaada wa uokoaji na vifaa.
Atapatikana tu,ila kuwa mzima sidhani.
Maana eneo aliloangukia lina bonde so la kawaida.
 
Kosugi hebu tupe elimu kwanini helikopta ya kutengenezewa ya Marekani tena kuukuu ilitumika kwa Rais wa iran wakati iran ni nchi yenye teknolojia yahli ya juu mnoo?
Mataifa mangapi huundwa helikopta!?
 
Assume amekufa, ni kitisho kipi kwa Iran! Think as grown up! Akiwa hai maybe ndio tishio! System ya Iran hata mrithi anajulikana, sasa ni tishio lipi hilo! ?
Kwahali ilivyo sasa ikitokea amekufa kuna uwezekano wazee wa propaganda za West wakasema wanahusika ili kuitisha dunia kuwa Iran si lolote na wana uwezo wa kuuwa mpaka viongozi wao.kumbuka tayari Officials wa USA wamezusha hili tukio ni assassin israeli tayari kasema hausiki hizi zote ni propaganda wanaenda na tukio hili. Hii maana yake itatumika kama weakness katika kambi ya Iran katika mapambano yanayoendelea huko Gaza
 
Qatar,Saudi Arabia na Turkiye wameongeza msaada wa uokoaji na vifaa.
Atapatikana tu,ila kuwa mzima sidhani.
Maana eneo aliloangukia lina bonde so la kawaida.
kwa kudra za allah na mudi atapatikana hai na tena akiwa hana hata chembe ya jeraha, japo mahasidi wanaropka hapa jukwaani kuwa eti ameng'ata shuka tayari.
 
Back
Top Bottom