cassavaleaves
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 1,799
- 2,237
Hii ajali inafuatiliwa sana na marekani, Israel na other Western. Kitisho kipo nje ya Iran siyo ndani.
Huwezi kujua mi ni nani nan ninafanya kazi gani kwahiyo tusibishane.
Soon lawama zitakwenda Israel na US
wakati hao watoto wamama wazee wakiuwawa wanaowalinda huwa wapo wap kuwalinda au hawana walinzi ,iwe wapiganaji, mgambo au hata wanajeshi, au basi wanaume tu hata wasio na mafunzo kamili huwa hao woote hawapo wapate kuwalinda? au wanawalinda ila ndo uwezo unakuwa umefika mwisho?Iran sio waarabu, elewa hilo! Pia kama vipi kaungane na wale makafiri wanaouwa watoto, wamama na wazee wasio na hatia utakipata kama kilichowapata wale wa Kaskazini.
Kosugi hebu tupe elimu kwanini helikopta ya kutengenezewa ya Marekani tena kuukuu ilitumika kwa Rais wa iran wakati iran ni nchi yenye teknolojia yahli ya juu mnoo?Baadhi ya ripoti kuhusiana na helikopta iliyoanguka ikiwa na rais wa Irani ilikuwa ni ya Mmarekani 🇺🇸 Bell 412 🙄
Kwanini Helikopta ya kutengenezewa ya Marekani ilitumika kwa Rais??
Huwezi kujua mi ni nani nan ninafanya kazi gani kwahiyo tusibishane.
huyo ni wale wa vyeti feki alilia mnooo hapa jukwaani Magu alivyombambaJamii Forums haikosi vituko!
Mataifa mangapi huundwa helikopta!?Kosugi hebu tupe elimu kwanini helikopta ya kutengenezewa ya Marekani tena kuukuu ilitumika kwa Rais wa iran wakati iran ni nchi yenye teknolojia yahli ya juu mnoo?
Kwahali ilivyo sasa ikitokea amekufa kuna uwezekano wazee wa propaganda za West wakasema wanahusika ili kuitisha dunia kuwa Iran si lolote na wana uwezo wa kuuwa mpaka viongozi wao.kumbuka tayari Officials wa USA wamezusha hili tukio ni assassin israeli tayari kasema hausiki hizi zote ni propaganda wanaenda na tukio hili. Hii maana yake itatumika kama weakness katika kambi ya Iran katika mapambano yanayoendelea huko GazaAssume amekufa, ni kitisho kipi kwa Iran! Think as grown up! Akiwa hai maybe ndio tishio! System ya Iran hata mrithi anajulikana, sasa ni tishio lipi hilo! ?
Mimi sikujuiIla wewe unajua mimi ni nani, Kazi kweli!
kwa kudra za allah na mudi atapatikana hai na tena akiwa hana hata chembe ya jeraha, japo mahasidi wanaropka hapa jukwaani kuwa eti ameng'ata shuka tayari.Qatar,Saudi Arabia na Turkiye wameongeza msaada wa uokoaji na vifaa.
Atapatikana tu,ila kuwa mzima sidhani.
Maana eneo aliloangukia lina bonde so la kawaida.
Toa upuuzi hapaIsraeli ni hatari sana, kahusika kwa 100%
si ndo utupe elimu sasa?Mataifa mangapi huundwa helikopta!?
Wanaendelea kumtafuta.Kwa hiyo mpaka sasa hakuna taarifa kamili za uhai wake!