Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

Ulibakia Wewe tu kujua kuwa huyo Jamaa ni Juha ( Fool ) hakuna mfano hapa Jamvini. Nilishamdharau toka Kitambo tu.
 
Mkiambiwa msicheze na Wayahudi na ni Taifa la Mungu muwe mnaelewa. Iran ilianza Upuuzi sasa Wanakiona na bado.
Popoma, Mungu hana upendeleo mdogo wangu, Mungu si kama kizimkazi hata aseme uongo, awahi au achelewe.
 
Inasemekana baadhi ya wahanga kwenye ajali hiyo wameweza kuwasiliana na wenye mamlaka

Hivyo kuna matumaini kuwa huenda hakuna vifo kwenye ajali hiyo

Habari zaidi zitatolewa na vyombo vyenye mamlaka vya Iran

JF imetolea wapi mamlaka hii ya kutoa taarifa za Iran
 
Mkiambiwa msicheze na Wayahudi na ni Taifa la Mungu muwe mnaelewa. Iran ilianza Upuuzi sasa Wanakiona na bado.
Iran inatuma makumi ya ndege zisizo na rubani kuwaua raia wa Ukrain, kibinafsi na rais Raisi.

Na bado EU inataka kupeleka satelaiti kusaidia Iran? Wakati Iran inawezesha moja kwa moja vita vinavyotishia uhuru wao??
 
Yaani God bless Gays? Heeee
Cha ajabu hao unaowaita mashoga wanawahenyesha wasio mashoga makumi ya miaka sasa kwa kifupi wasio mashoga wamenyang'anywa ardhi na unaowaita mashoga😂🤣😆, yasiyo mashoga yanalialia kuomba huruma za dunia nzimai😂🤣😆. Yasiyo mashoga yamejificha yanawatumua watoto na wanawake kuwa ngao na bado wanauwawa na unaowaita mashoga
 
Hata Uturuki iliiomba msaada Iran na mataifa mengine baada ya kupingwa na tetemeko la ardhi.
wanasema simba akizidiwa hula nyasi, imefika hatua wameomba hadi EU ambako hawataki kukaribisha teknolojia yao
 
Unachonambia nikifanyie utafiti nimekifanyia.
Miongoni mwa hizo massacre unazozisemea ni Nebi Musa riots.
Halafu hizo vurugu zote unazozisemea zimeua pande zote mbili,na hazikukua vurugu za kidini bali za kugombania mamlaka ya sehemu.
Inamaana ugomvi wa kimamlaka unaugeuza kuwa wa kidini!?
Siropoki nazungumza nikielewa nini nazungumza.
Ugomvi wa Waarabu na Israel sio wa kidini.
 

Umeisoma Hamas Charter lakini? Kabla tu sijarudi kwenye Aya za Quran..
 

Narudia tena umewahi kuisoma Charter ya Hamas? Hii ni sehemu ndogo tu

Article Thirteen:

Abusing any part of Palestine is abuse directed against part of religion. Nationalism of the Islamic Resistance Movement is part of its religion. Its members have been fed on that. For the sake of hoisting the banner of Allah over their homeland they fight.
 
wanasema simba akizidiwa hula nyasi, imefika hatua wameomba hadi EU ambako hawataki kukaribisha teknolojia yao
Mara nyinyi nchi zinapo pata matatizo huwa zinasaidiana, siasa huwa zinawekwa pembeni kwanza.

Nakumbuka kuna kipindi Iran ilisha iokoa meli ya Marekani dhidi ya kutekwa na maharamia.

Alafu hawajaomba msaada EU peke yake bali wameomba nchi zote zenye Satalaiti za mawasiliano na kupiga picha angani hata Iran kwenyewe ana Satalaiti juu lakini bado kaomba msaada kwa wenzake.
 
Umeisoma Hamas Charter lakini? Kabla tu sijarudi kwenye Aya za Quran..
Mie naijua Hamas covenant sasa sijajua kama ndio hiyo hiyo Hamas charter.
Huko katika Qur'an utapotea maana Qur'an hui quote kama unavyo quote article zingine.
Na najua utaanza na ayah za jihad.
 
Nikikuita una uelewa mdogo mkuu utasema nakutusi!?
Hiyo sehemu inasema"ABUSING ANY PART OF PALESTINE IS ABUSE DIRECTED AGAINST PART OF RELIGION".
BIMAANA KITENDO CHOCHOTE CHA KUIDHURU PALESTINA NI SAWA NA KITENDO CHA KUIDHURU DINI.
Je hapo kuna kosa!?
Inamaana kama PALESTINA ITAGUSWA.
Mkuu embu soma kwa uelewa aisee.
 
Acha upumbavu kipindi hao wayahudi wana teswa na kuuawa kama panya huko Ulaya sindo wakati huo wayahudi walikuwa wanaishi maisha ya amani kwenye nchi za waislam hapo mashariki ya kati na Africa kaskazini?

Hamas hana ugomvi na wayahudi bali ana ugomvi na taifa la Israel linalo kalia taifa lao kwa mabavu.
 
Yaani God bless Gays? Heeee

Mie naijua Hamas covenant sasa sijajua kama ndio hiyo hiyo Hamas charter.
Huko katika Qur'an utapotea maana Qur'an hui quote kama unavyo quote article zingine.
Na najua utaanza na ayah za jihad.

Kwa hiyo wewe unaufahamu kuliko Sheikh Yasin walionzisha Hamas? Kweli iko kazi....
 

Attachments

  • 1716152553820.png
    1.1 MB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…