Aiseee!Mimi habari ninayoingojea ni Kusikia tu Mtu ameshaondoka Mazima duniani. Habari tazama na Mkeo na Mimi usinilazimishe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseee!Mimi habari ninayoingojea ni Kusikia tu Mtu ameshaondoka Mazima duniani. Habari tazama na Mkeo na Mimi usinilazimishe.
Raisi anapigiwa kura na raia, hateuliwi.Tofautisha
1. Ayatollah - Top in command (Mkuu wa nchi),
2. Raisi - 2nd in command (anateuliwa na Ayatollah).
Ulibakia Wewe tu kujua kuwa huyo Jamaa ni Juha ( Fool ) hakuna mfano hapa Jamvini. Nilishamdharau toka Kitambo tu.Narudia kuukuliza unajua historia Mkuu? Inasikitisha.....Kabla ya kuandika just do a little research mkuu Kosugi, nyie ndio mnaoifanya unaifanya Jamii Forums ionekana ni ya ni ya watoto wa Darasa la Saba......! Kwa kukusaidia tu Just read some books of Ottoman rule over Palestine (1516-1918) Halafu nini kilitokea Wakati wa Mandate ya British!.....Kama ni mvivu unataka summary just, Google tu_ List of Killings and Massacres committed in Mandate Palestine, uone tense releationship between Arabs an Jews!
Hebu tusubiri waokoaji mkuu ! Hii ndio mada yetu!
Hi mijutu sijui akili zao vipi kila kitu Israel imerogwa na Paulo 😄Israel haikuhusika kwasababu ndege ilitua kwanguvu kwa kupoteza muelekeo,haikulipuliwa ama kuhujumiwa kivyovyote.
Muwe mnatizama habari.
Popoma, Mungu hana upendeleo mdogo wangu, Mungu si kama kizimkazi hata aseme uongo, awahi au achelewe.Mkiambiwa msicheze na Wayahudi na ni Taifa la Mungu muwe mnaelewa. Iran ilianza Upuuzi sasa Wanakiona na bado.
Wanajeshi wa Iran waliokuwa wanarusha fataki kwenye anga la Isarel wakidai wanatoa fundisho kwa Israel?Wanajeshi wa Iran wamefanikiwa kupata signal ya simu ya rais
Haitabadilisha kitu najua ila wazee wa propaganda wataitumia kama kete ya kivita huko palestina na Israeli.Mkuu, akifa akiwa hai haibadiliki kitu Mkuu! Nadhani huijui Iran......
Inasemekana baadhi ya wahanga kwenye ajali hiyo wameweza kuwasiliana na wenye mamlaka
Hivyo kuna matumaini kuwa huenda hakuna vifo kwenye ajali hiyo
Habari zaidi zitatolewa na vyombo vyenye mamlaka vya Iran
Iran inatuma makumi ya ndege zisizo na rubani kuwaua raia wa Ukrain, kibinafsi na rais Raisi.Mkiambiwa msicheze na Wayahudi na ni Taifa la Mungu muwe mnaelewa. Iran ilianza Upuuzi sasa Wanakiona na bado.
Cha ajabu hao unaowaita mashoga wanawahenyesha wasio mashoga makumi ya miaka sasa kwa kifupi wasio mashoga wamenyang'anywa ardhi na unaowaita mashoga😂🤣😆, yasiyo mashoga yanalialia kuomba huruma za dunia nzimai😂🤣😆. Yasiyo mashoga yamejificha yanawatumua watoto na wanawake kuwa ngao na bado wanauwawa na unaowaita mashogaYaani God bless Gays? Heeee
Nakuheshimu ondoa haraka sana hiyo Avatar uliyoiweka hapo.Mkiambiwa msicheze na Wayahudi na ni Taifa la Mungu muwe mnaelewa. Iran ilianza Upuuzi sasa Wanakiona na bado.
wanasema simba akizidiwa hula nyasi, imefika hatua wameomba hadi EU ambako hawataki kukaribisha teknolojia yaoHata Uturuki iliiomba msaada Iran na mataifa mengine baada ya kupingwa na tetemeko la ardhi.
Unachonambia nikifanyie utafiti nimekifanyia.Narudia kuukuliza unajua historia Mkuu? Inasikitisha.....Kabla ya kuandika just do a little research mkuu Kosugi, nyie ndio mnaoifanya unaifanya Jamii Forums ionekana ni ya ni ya watoto wa Darasa la Saba......! Kwa kukusaidia tu Just read some books of Ottoman rule over Palestine (1516-1918) Halafu nini kilitokea Wakati wa Mandate ya British!.....Kama ni mvivu unataka summary just, Google tu_ List of Killings and Massacres committed in Mandate Palestine, uone tense releationship between Arabs an Jews!
Hebu tusubiri waokoaji mkuu ! Hii ndio mada yetu!
Unachonambia nikifanyie utafiti nimekifanyia.
Miongoni mwa hizo massacre unazozisemea ni Nebi Musa riots.
Halafu hizo vurugu zote unazozisemea zimeua pande zote mbili,na hazikukua vurugu za kidini bali za kugombania mamlaka ya sehemu.
Inamaana ugomvi wa kimamlaka unaugeuza kuwa wa kidini!?
Siropoki nazungumza nikielewa nini nazungumza.
Ugomvi wa Waarabu na Israel sio wa kidini.
Unachonambia nikifanyie utafiti nimekifanyia.
Miongoni mwa hizo massacre unazozisemea ni Nebi Musa riots.
Halafu hizo vurugu zote unazozisemea zimeua pande zote mbili,na hazikukua vurugu za kidini bali za kugombania mamlaka ya sehemu.
Inamaana ugomvi wa kimamlaka unaugeuza kuwa wa kidini!?
Siropoki nazungumza nikielewa nini nazungumza.
Ugomvi wa Waarabu na Israel sio wa kidini.
Mara nyinyi nchi zinapo pata matatizo huwa zinasaidiana, siasa huwa zinawekwa pembeni kwanza.wanasema simba akizidiwa hula nyasi, imefika hatua wameomba hadi EU ambako hawataki kukaribisha teknolojia yao
Mie naijua Hamas covenant sasa sijajua kama ndio hiyo hiyo Hamas charter.Umeisoma Hamas Charter lakini? Kabla tu sijarudi kwenye Aya za Quran..
Nikikuita una uelewa mdogo mkuu utasema nakutusi!?Narudia tena umewahi kuisoma Charter ya Hamas? Hii ni sehemu ndogo tu
Article Thirteen:
Abusing any part of Palestine is abuse directed against part of religion. Nationalism of the Islamic Resistance Movement is part of its religion. Its members have been fed on that. For the sake of hoisting the banner of Allah over their homeland they fight.
Acha upumbavu kipindi hao wayahudi wana teswa na kuuawa kama panya huko Ulaya sindo wakati huo wayahudi walikuwa wanaishi maisha ya amani kwenye nchi za waislam hapo mashariki ya kati na Africa kaskazini?Narudia tena umewahi kuisoma Charter ya Hamas? Hii ni sehemu ndogo tu
Article Thirteen:
Abusing any part of Palestine is abuse directed against part of religion. Nationalism of the Islamic Resistance Movement is part of its religion. Its members have been fed on that. For the sake of hoisting the banner of Allah over their homeland they fight.
Yaani God bless Gays? Heeee
Mie naijua Hamas covenant sasa sijajua kama ndio hiyo hiyo Hamas charter.
Huko katika Qur'an utapotea maana Qur'an hui quote kama unavyo quote article zingine.
Na najua utaanza na ayah za jihad.