Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta


Mwenye akili lini kulikuwepo Taifa la Palestina?
 
Unachochanganya wewe ni chanzo cha ugomvi kati ya Waarabu na Wazayuni/wayahudi na kusudi la kuundwa Hamas.
Katika uislam kuipambania ardhi yako ni sawa na kuipambania dini yako.
Je,chanzo cha ugomvi ni dini au mipaka ya ardhi!?
Kama chanzo ni dini kwanini Israel huua hadi wakristo na kubomoa makanisa Palestina!?
 
Wanajeshi wa Iran waliokuwa wanarusha fataki kwenye anga la Isarel wakidai wanatoa fundisho kwa Israel?
Kwahiyo Marekani na vibaraka wake waliungana kupeleka mandege yao ya gharama kwenda kupambana na mafataki? Kweli sasa hivi Marekani inaongozwa na vichaa.
 
Duh Matumaini ya kuwa hai kwa huyu kiongozi yanazidi kupungua

Bado hajapatikana

Alafu helicopter mbili zilizokiwa kwenye msafara zimetua safely
kasoro ya Rais

Bado Us na Israel hajasema Neno
Tusiwasingizie ni Hali ya hewa
 
Simu ya Rais ipo hewani ila inaonekana ipo mbali na muhusika

Possibly Rais na kundi lake walitoka kwenye ndege wakateleza kutokana na matope

Waokoaji wawahi
 
Kwa hiyo wewe unaufahamu kuliko Sheikh Yasin walionzisha Hamas? Kweli iko kazi....
Mkuu post yako ulioleta imekuumbua.
Soma kwa uelewa usilete tu quotes.
Hamas imeundwa baada ya kufeli PLO kwaajili ya kupambania mlengwa wa kisiasa wa Palestina chini ya mwamvuli wa kiislam.
Na covenant yao inaeleza hiyo nenda kaisome.
Ila Hamas haigombani na Israel kisa uislam na uyahudi embu elewa hilo.
Mie nasemea ugomvi wa waarabu na wayahudi/wazayuni/waIsrael sio dini ni ardhi.
Ila Waarabu hupigana kwa mwamvuli wa dini.
Nenda kasome covenant ya Hamas ya 1988.
Usiku mwema mkuu nina mke sifai kukaa online hadi sasa.
 
Mbona hili jambo llipo wazi sana, gharama za shipping zime double, kutoka usd450 hadi usd950 to usd1000 kutokana na hii kadhia.


East africa tumeathirika sana na kinachooendelea.
 

Kweli unahitaji kupumzishwa na mkeo....Mambo haya ni makubwa kwako!


Article 8 of the Hamas Charter of 1988 states that Allah is its goal, the Prophet is its model, and the Koran is its constitution. It also states that jihad is its path, and death for the sake of Allah is its loftiest wish.
 
Vikwazo vya kiuchumi ni vibaya sana imagine inawezaka helicopter ilikosa proper spear part and maintenance kutoka kwa manufacturer jambo ambalo yumkini limepekekea jambo kama hili kutokea,ingawa ni kichanga changa karata zangu na nikiunganisha doti na nikikumbuka kauli moja ya mkuu wa majeshi ya Israel aliyoitoa Mara baada ya Iran kurusha Yale mabobu ndani ya Israel kwamba ,they will hit Iran at their right time and right place, I'm skeptical on that.
 
Simu ya Rais ipo hewani ila inaonekana ipo mbali na muhusika

Possibly Rais na kundi lake walitoka kwenye ndege wakateleza kutokana na matope

Waokoaji wawahi
"In this painful incident, we express our full solidarity with the Islamic Republic of Iran, its leadership, government, and people, and we ask Allah Almighty to protect and ensure the safety of the Iranian President and his accompanying delegation, and to keep all harm away from the brotherly Iranian people.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…