Morogoro kaskazini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2020
- 2,392
- 9,187
Kile kipigo hakita kuja kusahaulikaWanajeshi wa Iran waliokuwa wanarusha fataki kwenye anga la Isarel wakidai wanatoa fundisho kwa Israel?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kile kipigo hakita kuja kusahaulikaWanajeshi wa Iran waliokuwa wanarusha fataki kwenye anga la Isarel wakidai wanatoa fundisho kwa Israel?
Acha upumbavu kipindi hao wayahudi wana teswa na kuuawa kama panya huko Ulaya sindo wakati huo wayahudi walikuwa wanaishi maisha ya amani kwenye nchi za waislam hapo mashariki ya kati na Africa kaskazini?
Hamas hana ugomvi na wayahudi bali ana ugomvi na taifa la Israel linalo kalia taifa lao kwa mabavu.
Unachochanganya wewe ni chanzo cha ugomvi kati ya Waarabu na Wazayuni/wayahudi na kusudi la kuundwa Hamas.Narudia tena umewahi kuisoma Charter ya Hamas? Hii ni sehemu ndogo tu
Article Thirteen:
Abusing any part of Palestine is abuse directed against part of religion. Nationalism of the Islamic Resistance Movement is part of its religion. Its members have been fed on that. For the sake of hoisting the banner of Allah over their homeland they fight.
Ki ukweli jamaa kavuta tusidanganywe apaAjari ya helicopter uwezekano wa kupona hua ni mdogo sana
Kwahiyo Marekani na vibaraka wake waliungana kupeleka mandege yao ya gharama kwenda kupambana na mafataki? Kweli sasa hivi Marekani inaongozwa na vichaa.Wanajeshi wa Iran waliokuwa wanarusha fataki kwenye anga la Isarel wakidai wanatoa fundisho kwa Israel?
Tusubiri kesho breaking newsKi ukweli jamaa kavuta tusidanganywe apa
Mkuu post yako ulioleta imekuumbua.Kwa hiyo wewe unaufahamu kuliko Sheikh Yasin walionzisha Hamas? Kweli iko kazi....
Mbona hili jambo llipo wazi sana, gharama za shipping zime double, kutoka usd450 hadi usd950 to usd1000 kutokana na hii kadhia.Umeulizwa hizo meli zilikua na bendera ya wapi na zilikua zinaelekea wapi!?
Bado hujajibu hili swali.
Pia maswali mawili hujajibu.
Maersk zinazoelekea India na Israel ndizo zilisitisha safari ya kupita BAAB AL MANDIB.
Ila Afrika mashariki kila siku meli zinakuja na kupakua mizigo,je hizo zinapita PACIFIC OCEAN!?
Labda ila sidhan mkuu ngoja tusubiriTusubiri kesho breaking news
Haitabadilisha kitu najua ila wazee wa propaganda wataitumia kama kete ya kivita huko palestina na Israeli.
Mnaleta visingizio kama vya maisha kupanda kisa vita ya Ukraine!?Mbona hili jambo llipo wazi sana, gharama za shipping zime double, kutoka usd450 hadi usd950 to usd1000 kutokana na hii kadhia.View attachment 2994581View attachment 2994580
East africa tumeathirika sana na kinachooendelea.
Mkuu post yako ulioleta imekuumbua.
Soma kwa uelewa usilete tu quotes.
Hamas imeundwa baada ya kufeli PLO kwaajili ya kupambania mlengwa wa kisiasa wa Palestina chini ya mwamvuli wa kiislam.
Na covenant yao inaeleza hiyo nenda kaisome.
Ila Hamas haigombani na Israel kisa uislam na uyahudi embu elewa hilo.
Mie nasemea ugomvi wa waarabu na wayahudi/wazayuni/waIsrael sio dini ni ardhi.
Ila Waarabu hupigana kwa mwamvuli wa dini.
Nenda kasome covenant ya Hamas ya 1988.
Usiku mwema mkuu nina mke sifai kukaa online hadi sasa.
Ila nyie watu ni kama hmna akili , Mji umekuwa Magofu bado hamuoni hasara yoyote ,Hao hamas si wangepambana kuzuia uharibifu huo ?Unavoipamba Mossad. Washindwe kuzuia Wayahudi 1400 kuuwawa October 7 wafanikiwe kuwaua rais wa Iran na waziri wake. Huu ujinga mnaupataga wapi?
"In this painful incident, we express our full solidarity with the Islamic Republic of Iran, its leadership, government, and people, and we ask Allah Almighty to protect and ensure the safety of the Iranian President and his accompanying delegation, and to keep all harm away from the brotherly Iranian people.Simu ya Rais ipo hewani ila inaonekana ipo mbali na muhusika
Possibly Rais na kundi lake walitoka kwenye ndege wakateleza kutokana na matope
Waokoaji wawahi