Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

Ilitabiriwa alhamisi kwamba hali ya hewa itakuwa mbaya Sana!
 

Attachments

  • GN9I47NXMAAvCTb.jpeg
    135.4 KB · Views: 2
Watu wanafurahia kifo Cha Raisi Kama walivyofurahi alivyo hukumiwa Sabaya kwenda jela.
Hakuna anayempenda muuaji.
 
Mmesha ambiwa kuwa ajali imesababishwa na hali mbaya ya hewa ila nyinyi mmekomaa na propaganda zisizo kuwa na kichwa wala miguu.
Kama ajali imetokana na sijui vikwazo mbona huko Marekani kwenyewe ajali za hilikopita ni nyingi na huwa zinatokea kila siku?
Alafu Isitoshe Iran anamiliki Helicopter za kisasa kutoka Urusi ambazo alikabidhiwa tangu mwaka juzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…