Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

Ilitabiriwa alhamisi kwamba hali ya hewa itakuwa mbaya Sana!
 

Attachments

  • GN9I47NXMAAvCTb.jpeg
    GN9I47NXMAAvCTb.jpeg
    135.4 KB · Views: 2
Watu wanafurahia kifo Cha Raisi Kama walivyofurahi alivyo hukumiwa Sabaya kwenda jela.
Hakuna anayempenda muuaji.
 
Vikwazo vya kiuchumi ni vibaya sana imagine inawezaka helicopter ilikosa proper spear part and maintenance kutoka kwa manufacturer jambo ambalo yumkini limepekekea jambo kama hili kutokea,ingawa ni kichanga changa karata zangu na nikiunganisha doti na nikikumbuka kauli moja ya mkuu wa majeshi ya Israel aliyoitoa Mara baada ya Iran kurusha Yale mabobu ndani ya Israel kwamba ,they will hit Iran at their right time and right place, I'm skeptical on that.
Mmesha ambiwa kuwa ajali imesababishwa na hali mbaya ya hewa ila nyinyi mmekomaa na propaganda zisizo kuwa na kichwa wala miguu.
Kama ajali imetokana na sijui vikwazo mbona huko Marekani kwenyewe ajali za hilikopita ni nyingi na huwa zinatokea kila siku?
Alafu Isitoshe Iran anamiliki Helicopter za kisasa kutoka Urusi ambazo alikabidhiwa tangu mwaka juzi.
 
Back
Top Bottom