Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

BREAKING: Helicopter wreckage has been found

Chief of Iranian Red Crescent says situation at helicopter crash site 'does not look good'
 

Sasa kwa nini wametumia Bell 212 ya miaka ya 70 ya Marekani... Tuonyeshe hiyo ya Russia.....maana taarifa nimeisoma Aljazeera....
 
Sasa mbona hata hizo drone za kusasa za Nato mpaka sasa hazijaiona hiyo ndege?
 
Sasa kwa nini wametumia Bell 212 ya miaka ya 70 ya Marekani... Tuonyeshe hiyo ya Russia.....maana taarifa nimeisoma Aljazeera....
Kwa takwimu za masuala ya kijeshi Iran inamiliki Helicopter zaidi ya 125 bado hatujaweka za kiraia , kwa hiyo hizo zote unataka kuniambia ni kutoka Marekani?
 
Mabaki ya helicopter yamepatikana; abiria wake wote wanekutwa wamekufa akiwamo Raisi

 
BREAKING: Iranian official tells Reuters the chances Iran's president survived helicopter crash are 'slim'
 
Reactions: K11
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…