Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

BREAKING: Helicopter wreckage has been found

Chief of Iranian Red Crescent says situation at helicopter crash site 'does not look good'
 
Mmesha ambiwa kuwa ajali imesababishwa na hali mbaya ya hewa ila nyinyi mmekomaa na propaganda zisizo kuwa na kichwa wala miguu.
Kama ajali imetokana na sijui vikwazo mbona huko Marekani kwenyewe ajali za hilikopita ni nyingi na huwa zinatokea kila siku?
Alafu Isitoshe Iran anamiliki Helicopter za kisasa kutoka Urusi ambazo alikabidhiwa tangu mwaka juzi.

Sasa kwa nini wametumia Bell 212 ya miaka ya 70 ya Marekani... Tuonyeshe hiyo ya Russia.....maana taarifa nimeisoma Aljazeera....
 
Iran ina serikali kama ya CCM haipendi kusema ukweli kwenye mambo muhimu hasa Maendeleo

Iran inasifikia ni bingwa wa Tecknologia, ila imebidi Uturuki nchi ya NATO iwape msaada wa Drone za kisasa ambazo Iran huwa inajisifia ni bingwa wa kuziunda


View: https://x.com/AACanli/status/1792322175820591130

Kuna msemo unasema kujidanganya huna matatizo wakati unayo ni ujinga

Sasa mbona hata hizo drone za kusasa za Nato mpaka sasa hazijaiona hiyo ndege?
 
Sasa kwa nini wametumia Bell 212 ya miaka ya 70 ya Marekani... Tuonyeshe hiyo ya Russia.....maana taarifa nimeisoma Aljazeera....
Kwa takwimu za masuala ya kijeshi Iran inamiliki Helicopter zaidi ya 125 bado hatujaweka za kiraia , kwa hiyo hizo zote unataka kuniambia ni kutoka Marekani?
 
Mabaki ya helicopter yamepatikana; abiria wake wote wanekutwa wamekufa akiwamo Raisi

1716174988468.png
 
BREAKING: Iranian official tells Reuters the chances Iran's president survived helicopter crash are 'slim'
 
  • Thanks
Reactions: K11
Back
Top Bottom