cassavaleaves
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 1,799
- 2,237
Kwa takwimu za masuala ya kijeshi Iran inamiliki Helicopter zaidi ya 125 bado hatujaweka za kiraia , kwa hiyo hizo zote unataka kuniambia ni kutoka Marekani?
Ndio wamesabanisha hiyo fog ?Wamagharibi washafanya yao
Ulipaswa uandike unafiki wa waislamu , ingenoga sana
Ndio wamesabanisha hiyo fog
Amkufa
Update zimekaa kimdebwedo sana.....BREAKING: Iranian official tells Reuters the chances Iran's president survived helicopter crash are 'slim'
Update zimekaa kimdebwedo sana.....
"....chances Iran'n president survived helicopter crash are slim"
Si waseme tu Rais karudisha jezi
Sasa hilo swali ndo tunatakiwa kuwauliza wanausalama wanao husika na usalama wa rais inakuwaje wanaruhusu hilo litokee na sio kusingizia sijui vikwazo vya Marekani kwa sababu hata Iran yenyewe huwa inatengeneza hercopiter.Mkuu wanaweza kuwa na nyingi tu, toka nchi mbali mbali......Why Old Bell 212...ya miaka ya 70!
Sheria ya Iran ile kulinda maadili yao.News ni kama zinazunguka.....Jamaa kafa! Idara ya kukamata wanawake wasi na Hijab ilikuwa chini yake.....Labda watapumzika kidogo....
TaqbiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiirrrrrrrrrTaarifa za hivi punde:
Vikosi vya uokoaji vimefika eneo lililotokea ajali na kukuta hakuna aliyepona katika ajali hiyo
Mabaki ya helikopta iliyopata ajali
View attachment 2994670
Makamu wa raisi Muhammad Mukhbar atakuwa raisi wa taifa hilo hadi siku 50 baadaye ambapo uchaguzi utafanyika wa kumchagua raisi mwingine.
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un
Fataki hata za njiti za kiberiti zinaweza kusababisha madhara. Ni lazima kuzidhibiti, lakini fataki siyo silaha za kisasaKwahiyo Marekani na vibaraka wake waliungana kupeleka mandege yao ya gharama kwenda kupambana na mafataki? Kweli sasa hivi Marekani inaongozwa na vichaa.