Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

Kwa takwimu za masuala ya kijeshi Iran inamiliki Helicopter zaidi ya 125 bado hatujaweka za kiraia , kwa hiyo hizo zote unataka kuniambia ni kutoka Marekani?

Mkuu wanaweza kuwa na nyingi tu, toka nchi mbali mbali......Why Old Bell 212...ya miaka ya 70!
 
Picha ya kwanza ya mabaki ya helikopta aliyokuwemo raisi wa Iran

20240520_062146.jpg
 
  • Thanks
Reactions: K11
Mkuu wanaweza kuwa na nyingi tu, toka nchi mbali mbali......Why Old Bell 212...ya miaka ya 70!
Sasa hilo swali ndo tunatakiwa kuwauliza wanausalama wanao husika na usalama wa rais inakuwaje wanaruhusu hilo litokee na sio kusingizia sijui vikwazo vya Marekani kwa sababu hata Iran yenyewe huwa inatengeneza hercopiter.
 
Taarifa za hivi punde:

Vikosi vya uokoaji vimefika eneo lililotokea ajali na kukuta hakuna aliyepona katika ajali hiyo

Mabaki ya helikopta iliyopata ajali
View attachment 2994670

Makamu wa raisi Muhammad Mukhbar atakuwa raisi wa taifa hilo hadi siku 50 baadaye ambapo uchaguzi utafanyika wa kumchagua raisi mwingine.


Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un
Taqbiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiirrrrrrrrr
 
Habari za Ajali ya Helikopta ya Rais wa Iran:

Raisi alithibitisha kufariki kwa kuwa hakuna manusura waliopatikana katika eneo la ajali

Makamu wa Rais wa Iran Muhammad Mukhbar anatarajiwa kuchukua nafasi ya kaimu rais wa Iran.
 
Taarifa za hivi punde:

Vikosi vya uokoaji vimefika eneo ilipotokea ajali na kukuta hakuna aliyepona katika ajali hiyo ya helikopta ambayo ilikuwa imembeba raisi wa Iran na waziri wake wa mambo ya nje Hossein Amirabdollahian.

Miili ya watu wote 9 waliokuwepo kwenye ajali hiyo imeungua moto.

Mabaki ya helikopta iliyopata ajali
20240520_062146.jpg


20240520_072843.jpg
20240520_072847.jpg

20240520_072854.jpg


Kwa mujibu wa katiba ya Iran, makamu wa raisi Muhammad Mukhbar atakuwa raisi wa taifa hilo hadi siku 50 baadaye ambapo uchaguzi utafanyika wa kumchagua raisi mwingine.


Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un
 
Kwahiyo Marekani na vibaraka wake waliungana kupeleka mandege yao ya gharama kwenda kupambana na mafataki? Kweli sasa hivi Marekani inaongozwa na vichaa.
Fataki hata za njiti za kiberiti zinaweza kusababisha madhara. Ni lazima kuzidhibiti, lakini fataki siyo silaha za kisasa
 
Back
Top Bottom