Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

#HABARI Rais wa Iran Ebrahim Raisi pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Hossein Amir-Abdollahian na wengine kadhaa wamethibitishwa kufariki dunia katika ajali ya helikopta iliyotokea jana Jumapili Kaskazini-Magharibi mwa Iran hii ni kwa mujibu wa runinga ya Taifa hilo.

Taarifa za awali zilieleza kuwa hali mbaya ya hewa ikiwemo ukungu katika eneo ilipotokea ajali hiyo, ulifanya helikopta hiyo kushindwa kutua wakati Rais huyo na ujumbe wake wakielekea mji wa Tabriz uliopo Kaskazini Magharibi mwa Iran.

Shirika la Kimataifa la Msalaba Mwekundu mapema leo waokoaji walilipata eneo ilipoanguka helikopta hiyo na kuelezwa kwamba ulikuwa imeteketea kabisa.

Helikopta hiyo ni miongoni mwa helikopta tatu zilzokuwa katika msafara huo, ambapo mbili inaelezwa zilitua salama.

#EastAfricaTV
 

Attachments

  • FB_IMG_1716183955874.jpg
    35.7 KB · Views: 2
Nipe hiyo aya kutoka kwenye Quran
There is no one whom Allah will admit to Paradise but Allah will marry him to seventy-two wives, two from houris and seventy from his inheritance from the people of Hell, all of whom will have desirable front passages and he will have a male member that never becomes flaccid (i.e., soft and limp).’”
حَدَّثَنَا هِشَامُ بْنُ خَالِدٍ الأَزْرَقُ أَبُو مَرْوَانَ الدِّمَشْقِيُّ، حَدَّثَنَا خَالِدُ بْنُ يَزِيدَ بْنِ أَبِي مَالِكٍ، عَنْ أَبِيهِ، عَنْ خَالِدِ بْنِ مَعْدَانَ، عَنْ أَبِي أُمَامَةَ، قَالَ قَالَ رَسُولُ اللَّهِ ـ صلى الله عليه وسلم ـ ‏ "‏ مَا مِنْ أَحَدٍ يُدْخِلُهُ اللَّهُ الْجَنَّةَ إِلاَّ زَوَّجَهُ اللَّهُ عَزَّ وَجَلَّ ثِنْتَيْنِ وَسَبْعِينَ زَوْجَةً ثِنْتَيْنِ مِنَ الْحُورِ الْعِينِ وَسَبْعِينَ مِنْ مِيرَاثِهِ مِنْ أَهْلِ النَّارِ مَا مِنْهُنَّ وَاحِدَةٌ إِلاَّ وَلَهَا قُبُلٌ شَهِيٌّ وَلَهُ ذَكَرٌ لاَ يَنْثَنِي ‏"‏ ‏.‏ قَالَ هِشَامُ بْنُ خَالِدٍ مِنْ مِيرَاثِهِ مِنْ أَهْلِ النَّارِ يَعْنِي رِجَالاً دَخَلُوا النَّارَ فَوَرِثَ أَهْلُ الْجَنَّةِ نِسَاءَهُمْ كَمَا وُرِثَتِ امْرَأَةُ فِرْعَوْنَ ‏.‏
English reference : Vol. 5, Book 37, Hadith 4337
Arabic reference : Book 37, Hadith 44


Dini ya ajabu sana hii
 
Iran ndege ya Rais imedondoka wamefika eneo la tukio baada ya masaa 16.

Wakati Kaskazini mwa India kule Ladakh ambapo wana mgogoro na China kuna milima mikali ni uwanda wa juu sana na ukungu ni almost kila siku ila huwa wanarespond haraka kwa ajari.

Marekani F-35 ilidondoka baharini wakatuma vifaa viiondoe kwenye sakafu ya bahari. Hawa Iran wanasingizia hali ya hewa mbaya. Au kuna mkono wa mtu.
Anyway apumzike kwa amani na FM pia
 
Haa imekuwaje tena Si tuliambiwa Hiyo Helicopter imetua kwa Shida... ..?
 
Huyo Kanjibai wamminye mbupu mpaka aseme waliomtuma
Wahindi ni vibaraka wa mayahudi , ilikuwa ni mistake kuwatrust makanjibai wakati mko vitani na mazayuni
 
Washafanya yao sasa
Wamefanya nini wambie basi wamtoe Khomeini kama wanaweza toka 1979 wamemshindwa, baba yake mpaa alipokufa kwa maradhi, na huyo mwanae toka baba yake kafa yupo au Ahmed Najat ambaye ndio alikuwa adui yao mkubwa mbona yuko hai.
 
Muajemi huyo yupo kwenye maombolezo ya kitaifa kwa kufiwa na Rais wake. Alawakubar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…