Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

Helicopter ajali zake zimekuwa nyingi kama bodabodaaa...!! Nadhani kuna poor service na maintanance yakeee kuanzia kina filikunjombe...kobe..mmiliki wa Leicester...general wa kenya now rais wa iran.. SIO USAFIRII SALAMA KABISA.
Helicopter bado ni salama kiasi chake. Ila hizi mbili latest za General wa Kenya na huyu Rais wa Iran zilikuwa nzee sana. Ile ya Kobe ni ukungu, ile ya Filikunjombe ni poor service kama kawaida ya mihelikopta ya Kenya kuwa ngalangala
 
Sasa wangerudi wafanye nini??? Wakati kuipata tu hiyo helcopter imechukua siku 2 sijuii.. Wao wasingeweza kurisk piaa.
Shida ilikuwa kujua eneo ilipodondokea. Ndege yaweza pata hitilafu hapa mkaikuta Chalinze.
Yaonesha hawakuwa na mawasiliano
 
Hawa Wairan nashangaa imekuaje wanamsafirisha Rais kwa helicopter wakati hali ya hewa ni mbaya na wala haijashtukiza.

Ina maana hawajui kusoma hali ya hewa? Hawajui jiografia korofi ya eneo lile?
Hawana MEDEVAC hata ya VIP?
Helicopter ya mkuu wa nchi hata kuwa tracked hawawezi wanaleta visingizio eti kuna matope, miti na ukungu.

Alafu kwanini watumie Mil Mi-17 helicopter ya kizee vile haijalishi ni modernized kiasi gani imeishafikia limit. VIP transport ina helicopter zake za kisasa, hata sisi bongo tunazo Airbus kama mbili tu huwa mara nyingi zinaenda Airwing, Banana. Iran pale Mi-17 ilibidi waachiwe troops wa kawaida.
Hili tukio labda litawaamsha.
 
I knew, Israel ina mkono mrefu sana dunia hii and will eliminate any human in this world, is the matter of time tu kwao, yaani Israel usicheze nayo kabisa..!!
Msafara wa Huyo Raisi wa Iran Yaani Convoy ulikuwa na helikopta tatu

Helikopta mbili zilipita vizuri tu Hapo kwenye so called Hali ya hewa mbaya na kutua salama nyumbani hiyo ya Raisi tu ndio ilishindwa kukatiza na kudondoka
 
Ila wavaa kobazi wanaosubiri kujitoa muhanga wakapate mabikra 72 pembeni ya kijito cha pombe ndo wana akili!? Acha kuchekesha aisee, nyie wote (mliokataa asili yenu na kupokea dini za majahazi) HAMNA AKILI.
Nipe hiyo aya kutoka kwenye Quran
 
Israeli hata akiua mgambo huwa hasemi chochote. Kwenye diplomasia ya kidunia hakuna taifa jinga kiasi hicho, kwamba hata kama ni kweli waende hadharani na kukiri hayo.
Kijana iran sio Afghanistan.
 
Iran inaonesha wamewekeza sana kwenye defence system na kutengeneza makombora lakini kwenye angle nyingine bado wapo nyuma tofauti na tunavyo aminishwa kwenye press TV maana gari zote tunazoshuhudia kwenye swala zima la uokoaji tena kiongozi mkuu wa nchi ni za kijapani.
 
Ya Rais?

Helicopter 3 ila Moja ndio imeushindwa ukungu?
Kwa hyo huo ukungu umeletwa na Israeli?🤣🤣🤣🤣🤣.haya ni mahaba juu ya israel.sikia mimi sikatai kuwa israel hawawezi kuhusika kwenye hyo ajali.ila nataka kujua wanahusikaje hichotu.mimi nina akili zangu uwa spending kushikiwa akili.yaani sababu fulani na fulani wana gombana mmoja akifa basi yule fulani ndo kamuua mwenyewe yaani hata. Bila uthibitisho unaamini
 
Kwa hyo huo ukungu umeletwa na Israeli?🤣🤣🤣🤣🤣.haya ni mahaba juu ya israel.sikia mimi sikatai kuwa israel hawawezi kuhusika kwenye hyo ajali.ila nataka kujua wanahusikaje hichotu.mimi nina akili zangu uwa spending kushikiwa akili.yaani sababu fulani na fulani wana gombana mmoja akifa basi yule fulani ndo kamuua mwenyewe yaani hata. Bila uthibitisho unaamini
Nani kaielekeza ndege Moja tu ya Rais Kwenye ukungu? 🐼

Ndio swali tunalojiuliza wahenga 😂
 
Binadamu yeyote anapo kufa huwa ina maanisha kuwa hana tena faida ndani ya dunia ndo maana mungu huwa anamuondoa ,hata ww siku faida ya uwepo wako ikiisha utaondolewa kama wengine walivyo ondolewa.
Hii hoja siyo kweli usimuingizie Mungu mawazo yako nikuulize baba akifa kaacha watoto 4 wa kwanza darasa la 4 wa mwisho ana mwaka mmoja unataka kusema huyu hakuwa na umuhim hapa duniani?
 
Acha vichekesho bana. Mungu wa Israel ni mkuu sana.
😄 hivi we ni ujinga au unajitoa akili, sa vipi wale walio kufa wa Israel kwa kujipiga wenyewe kwa wenyewe kwanini asiwakingie kifua wasife, au wanao uliwa na Hamas au pia anafanya ubaguzi kwa wengine waisrael kama anavyo wabagua wote wasio kuwa waisrael.

Sa we si Muisrael vipi utaenda peponi au? Kama utaenda vipi utaenda na wewe Mtanzania 😄

Kapime akili dogo hakuna Mungu wa taifa moja Mungu ndio huyo huyo wa mataifa yote.
 
Back
Top Bottom