Hawa Wairan nashangaa imekuaje wanamsafirisha Rais kwa helicopter wakati hali ya hewa ni mbaya na wala haijashtukiza.
Ina maana hawajui kusoma hali ya hewa? Hawajui jiografia korofi ya eneo lile?
Hawana MEDEVAC hata ya VIP?
Helicopter ya mkuu wa nchi hata kuwa tracked hawawezi wanaleta visingizio eti kuna matope, miti na ukungu.
Alafu kwanini watumie Mil Mi-17 helicopter ya kizee vile haijalishi ni modernized kiasi gani imeishafikia limit. VIP transport ina helicopter zake za kisasa, hata sisi bongo tunazo Airbus kama mbili tu huwa mara nyingi zinaenda Airwing, Banana. Iran pale Mi-17 ilibidi waachiwe troops wa kawaida.