Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
You need to rest with this stupid conspiracy theory.'Israel behind the copter crash that killed Iran president Raesi, others": Itar Tass reported
Makamu wa Raisi naye akifariki Kabia ya uchaguzi wa Sasa katiba inasemajeMakamu wa Rais Mohammad Mokhber atachukua mamlaka baada ya kifo cha Raisi. Kwa mujibu wa katiba ya Iran, iwapo rais atafariki au kutoweza, makamu wa kwanza wa rais atachukua hatamu hadi uchaguzi ufanyike ndani ya siku 50.
Arm chair generals. White house wanatumia Sh-3 sea king, ambayo imekuwa introduced 1961. Wanatumia modernised black hawk helicopters ambayo imekuwa introduced 1979.Helcopter ya Kimarakeni ya Mwaka 1970......Unashangaa, hawezi new model kutoka Urusi hata China! Spares hawapati sababu za vikwazo, na hata wakiuziwa nyuma ya pazia zinakuwa fake! Rais anapanda Chopper ya miaka hiyo! Akili zote ni kuwapiga Mayahudi na kusahahu vitu vingine.......
Helcopter yenyewe kwa macho tu hata nape asingekubali kupanda😁😁.
Hawa waajemi miyeyusho tu,wanafanya niwadharau kuliko nilivyokuwa nawadharau mwanzo,si ajabu wakarusha mabomu 100 siku ile halafu mengine yakanasa kwenye nyaya za umeme.
You need to rest with this stupid conspiracy theory.
You can do better.
Do you even have to stoop this low?
Did you even see the fog?
You have a brain try using it next time
Arm chair generals. White house wanatumia Sh-3 sea king, ambayo imekuwa introduced 1961. Wanatumia modernised black hawk helicopters ambayo imekuwa introduced 1979.
So helicopter za juzi au old? Uzamani wa helicopter si tatizo but jinsi gani mna zi maintain.
Helicopter iliyopata ajali bell UH-1N helicopter, introduced 1970s, and jeshi la marekani bado wanazitumia mpaka leo.
Uazamani au utunzaji ndio tatizo?
But according to the internal news agencies,they were explaining about Ebrahim's relation with Ayatollah and other officials,it was not good,Ebrahim was having different motives about axis of resistance.It was pretty foggy and winds were extraordinary . Not all helicopters that crash into a mountain in zero visibility. A space laser aka DEW isn’t indicated at all. Ayatollah will blame Israel anyways. Iran messed up. I pray the people rise up & regain their Nation & freedom!!🔥👊🏼👁️
Arm chair generals. White house wanatumia Sh-3 sea king, ambayo imekuwa introduced 1961. Wanatumia modernised black hawk helicopters ambayo imekuwa introduced 1979.
So helicopter za juzi au old? Uzamani wa helicopter si tatizo but jinsi gani mna zi maintain.
Helicopter iliyopata ajali bell UH-1N helicopter, introduced 1970s, and jeshi la marekani bado wanazitumia mpaka leo.
Uazamani au utunzaji ndio tatizo?
Mkuu natizama hapa helikopta ilipoangukia aisee walistahili kutumia huo muda.
Kwanza eneo mvua kumbe ilinyeesha na ilikua bado inanyeesha,ina miteremko na mabonde ya ufa makubwa zaidi pia kuna misitu mikubwa.
Ila ndio hivyo Mungu ampokee.
Ulitizama walau hata France 24??Mzee wa hard na soft landing.. umepiga porojo na propaganda usiku mzima dah watu mna mioyo
JW wana ndege za kichina na Russia za 1960s. Wanajeshi wanazirusha bila shidaMkuu wako overratted mno! Hiyo Helicopter ni Bell 212....za miaka ya 1968, hivyo alivyokimbia Shah zilikuwepo! Kwa nini Rais apandishwe kwenye Helicopter chakavu! Spares shida toka US, kwa nini hawezi kununua hata kutoka China? Akili yao yote kwenye silaha kuwaondoa Wayahudi.......chuki ndio inasukuma nchi...!
Kwani zilitoka wakati mmoja?1. Hali ya hewa mbaya kwa helcopter ya rais pekee
2. Hizo mbili hazikuwa za zamani na zilifanyiwa service ndani ya muda?
JW wana ndege za kichina na Russia za 1960s. Wanajeshi wanazirusha bila shida
Bro huo sio utani tizama vyombo vya habari uone.Helicopter ya executive haijafanyiwa service kwa miongo kadhaa duuh 🙌🙌🙌😂😂😂
Ulitizama walau hata France 24??
Onesha nilipoongea propaganda na porojo?
Nasubiri jibu.
Bro huo sio utani tizama vyombo vya habari uone.
Helikopta ya toka 1970 na maintanance imefanyiwa mara kadhaa sana.
Na wanasema "it is decades since the maintanance of the chopper".
Acha utani wewe muajemi kwa teknolojia alokuwa nayo, na mihela na miakili alopewa na allah kweli alishindwa kuifanyia maintenane hiyo chopper? dah si angenunua hata za za kichina, au kirusi basi kuliko kuzing'ang'ania hizo za US au angeenda kwa mchina amfyatulie vipuri vya hizo chopper maana mnasemaga mchina kampita mmarekani hivyo spare za chopper tu sio issue kwake.Bro huo sio utani tizama vyombo vya habari uone.
Helikopta ya toka 1970 na maintanance imefanyiwa mara kadhaa sana.
Na wanasema "it is decades since the maintanance of the chopper".
Lile Gaidi lilibanikwa kama MshikakiMajor General Kassim Sulleiman Wa Iran Naye Ilikuwa Kama Hawapo