Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

'Israel behind the copter crash that killed Iran president Raesi, others": Itar Tass reported
You need to rest with this stupid conspiracy theory.
You can do better.
Do you even have to stoop this low?
Did you even see the fog?
You have a brain try using it next time
 
Makamu wa Rais Mohammad Mokhber atachukua mamlaka baada ya kifo cha Raisi. Kwa mujibu wa katiba ya Iran, iwapo rais atafariki au kutoweza, makamu wa kwanza wa rais atachukua hatamu hadi uchaguzi ufanyike ndani ya siku 50.
Makamu wa Raisi naye akifariki Kabia ya uchaguzi wa Sasa katiba inasemaje
 
Helcopter ya Kimarakeni ya Mwaka 1970......Unashangaa, hawezi new model kutoka Urusi hata China! Spares hawapati sababu za vikwazo, na hata wakiuziwa nyuma ya pazia zinakuwa fake! Rais anapanda Chopper ya miaka hiyo! Akili zote ni kuwapiga Mayahudi na kusahahu vitu vingine.......
Arm chair generals. White house wanatumia Sh-3 sea king, ambayo imekuwa introduced 1961. Wanatumia modernised black hawk helicopters ambayo imekuwa introduced 1979.

So helicopter za juzi au old? Uzamani wa helicopter si tatizo but jinsi gani mna zi maintain.
Helicopter iliyopata ajali bell UH-1N helicopter, introduced 1970s, and jeshi la marekani bado wanazitumia mpaka leo.

Uazamani au utunzaji ndio tatizo?

Helcopter yenyewe kwa macho tu hata nape asingekubali kupanda😁😁.

Hawa waajemi miyeyusho tu,wanafanya niwadharau kuliko nilivyokuwa nawadharau mwanzo,si ajabu wakarusha mabomu 100 siku ile halafu mengine yakanasa kwenye nyaya za umeme.
 
Arm chair generals. White house wanatumia Sh-3 sea king, ambayo imekuwa introduced 1961. Wanatumia modernised black hawk helicopters ambayo imekuwa introduced 1979.

So helicopter za juzi au old? Uzamani wa helicopter si tatizo but jinsi gani mna zi maintain.
Helicopter iliyopata ajali bell UH-1N helicopter, introduced 1970s, and jeshi la marekani bado wanazitumia mpaka leo.

Uazamani au utunzaji ndio tatizo?

Nakubali kwa sehemu! Hawa jamaa wana vikwazo vya US miaka mingi, hivyo unajua tu spares ni shida! Labda kuzipata kwa magendo! au mlango wa nyuma.....hayo ndio matokeo!
 
It was pretty foggy and winds were extraordinary . Not all helicopters that crash into a mountain in zero visibility. A space laser aka DEW isn’t indicated at all. Ayatollah will blame Israel anyways. Iran messed up. I pray the people rise up & regain their Nation & freedom!!🔥👊🏼👁️
But according to the internal news agencies,they were explaining about Ebrahim's relation with Ayatollah and other officials,it was not good,Ebrahim was having different motives about axis of resistance.
So it is likely to be true that internal politics espionage took place.
 
Arm chair generals. White house wanatumia Sh-3 sea king, ambayo imekuwa introduced 1961. Wanatumia modernised black hawk helicopters ambayo imekuwa introduced 1979.

So helicopter za juzi au old? Uzamani wa helicopter si tatizo but jinsi gani mna zi maintain.
Helicopter iliyopata ajali bell UH-1N helicopter, introduced 1970s, and jeshi la marekani bado wanazitumia mpaka leo.

Uazamani au utunzaji ndio tatizo?

Nakubali kwa sehemu! Hawa jamaa wana vikwazo vya US miaka mingi, hivyo unajua tu spares ni shida! Labda kuzipata kwa magendo! au mlango wa nyuma.....hayo ndio matokeo!
Mkuu natizama hapa helikopta ilipoangukia aisee walistahili kutumia huo muda.
Kwanza eneo mvua kumbe ilinyeesha na ilikua bado inanyeesha,ina miteremko na mabonde ya ufa makubwa zaidi pia kuna misitu mikubwa.
Ila ndio hivyo Mungu ampokee.

Hata wangetumia dk 10, uzembe uliisha fanyika, wengekuta maiti tu!
 
Mkuu wako overratted mno! Hiyo Helicopter ni Bell 212....za miaka ya 1968, hivyo alivyokimbia Shah zilikuwepo! Kwa nini Rais apandishwe kwenye Helicopter chakavu! Spares shida toka US, kwa nini hawezi kununua hata kutoka China? Akili yao yote kwenye silaha kuwaondoa Wayahudi.......chuki ndio inasukuma nchi...!
JW wana ndege za kichina na Russia za 1960s. Wanajeshi wanazirusha bila shida
 
Helicopter ya executive haijafanyiwa service kwa miongo kadhaa duuh 🙌🙌🙌😂😂😂
Bro huo sio utani tizama vyombo vya habari uone.
Helikopta ya toka 1970 na maintanance imefanyiwa mara kadhaa sana.
Na wanasema "it is decades since the maintanance of the chopper".
 
FB_IMG_17161905619472706.jpg
RAIS WA IRAN AFARIKI DUNIA.pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Hossein Amirabdollahian na Viongozi wengine ambao walikuwa wakisafiri pamoja kwenye Helikopta ambayo imeanguka Kaskazini Magharibi mwa Iran wakati Rais huyo na Timu yake wakitokea kwenye shughuli ya kikazi mpakani mwa Nchi hiyo na Azerbaijan ambapo hakuna aliyenusurika kwenye ajali hiyo.

Chombo cha Habari cha Serikali ya Iran kiitwacho IRNA kimethibitisha vifo hivyo na kusema tayari Baraza la Mawaziri la Serikali ya Nchi hiyo limekutana kwa dharura, AFP na Reuters wamethibitisha pia vifo hivyo.

Taarifa za vifo hivyo zimethibitishwa baada ya zoezi la kuisaka ilipoangukia Helikopta hiyo kufanyika kwa saa kadhaa hadi usiku wa kuamkia leo na baadaye mabaki ya Helikopta yamepatikana katika mazingira ambayo yameashiria hakuna aliyepona katika ajali.

Rais wa Urusi, Vladimir Putin alituma Ndege mbili za uokoaji pamoja na Waokoaji 50 kusaidia uokoaji ilipoangukia Helikopta hiyo usiku wa kuamkia leo huku akiahidi pia kuisaidia Iran kufanya uchunguzi ili kujua chanzo cha ajali hiyo ambayo inajiri huku kukiwa na mzozo mkali kati ya Iran na Israel na kupelekea baadhi ya Watu kuhusisha ajali hiyo na mzozo huo ingawa taarifa za awali kutoka Iran zinadai chanzo cha ajali ni mabadiliko ya hali ya hewa angani.
 
Kosa kubwa ililofanya Iran ni kurusha yale mabobu kwa Israel ,wakubwa huwa hawachezewi sharubu ukiwachezea watajifanya wamekaa kimya kumbe wananakulia timing ikukumbuka yule jamaa ayetaka kwenda Moscow kumpindua Putin akijitamba ilikuwaje na huyu rais wa Iran imekuaje ...don't mess with giants just play smart.
 
Bro huo sio utani tizama vyombo vya habari uone.
Helikopta ya toka 1970 na maintanance imefanyiwa mara kadhaa sana.
Na wanasema "it is decades since the maintanance of the chopper".

Kuna kitu....Hakukua hata na May Day....

No Mayday call from pilot indicates a ‘serious controllability issue’​

Aviation analyst Kyle Bailey has told Al Jazeera the lack of communication from the helicopter pilot or another flight crew member left no doubt that there was a “serious controllability issue”.
He said that if a helicopter has a serious technical issue mid-flight, the pilot’s first task is to “keep the plane flying, and then communications would be second”.
Bailey added: “We basically didn’t see any communication … because the pilot was probably just so focused on landing the helicopter or keeping it in the sky.”
The analyst also explained: “It appears from the helicopter being in two parts that the tail rotor most likely was sliced off, and that would be a result of the main rotor blade impacting the tail.”
He said this would have been caused by aerodynamic forces created when the pilot was manoeuvring to land the helicopter or possibly because of a technical issue.
Another possibility, he said, is tail rotor failure.
“If we see that spiral motion where the helicopters kind of rotating 360 degrees, clockwise or counterclockwise, that could indicate that the tail rotor failed, and … would be out of control”.
Bailey said adverse weather conditions and mountainous terrain could also have contributed to the fatal crash.
 
Bro huo sio utani tizama vyombo vya habari uone.
Helikopta ya toka 1970 na maintanance imefanyiwa mara kadhaa sana.
Na wanasema "it is decades since the maintanance of the chopper".
Acha utani wewe muajemi kwa teknolojia alokuwa nayo, na mihela na miakili alopewa na allah kweli alishindwa kuifanyia maintenane hiyo chopper? dah si angenunua hata za za kichina, au kirusi basi kuliko kuzing'ang'ania hizo za US au angeenda kwa mchina amfyatulie vipuri vya hizo chopper maana mnasemaga mchina kampita mmarekani hivyo spare za chopper tu sio issue kwake.
 
Back
Top Bottom