Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

Wajitahidi wasiwekewe kiongozi pandikizi.
 
Kwaweli hawa wavaa makobazi wanacΔ₯ekesha! Msafara wa Rais wao ulikuwa na helicopter 3! Ya Rais tu ndo ilipata kimbunga ikaanguka nyingine zikafika salamaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Una uhakika zilifuatana kwa pamoja?
 
Mkuu natizama hapa helikopta ilipoangukia aisee walistahili kutumia huo muda.
Kwanza eneo mvua kumbe ilinyeesha na ilikua bado inanyeesha,ina miteremko na mabonde ya ufa makubwa zaidi pia kuna misitu mikubwa.
Ila ndio hivyo Mungu ampokee.
Raisi wa nchi unampelekaje maeneo yenye risk kubwa kama hayo?

Hana washauri?

Inawezekana kweli huyu baba ni dikteta alikuwa ashauriki!!!!

Anachoamua ndio hicho hicho
 
HAWACHELEWI KUSEMA ISRAEL ANAHUSIKA NA AJALI!
 
Mkuu sio kweli Iran kwenye sekta ya magari imewekeza kwenye utengenezaji wa vigari vidogo vidogo ambavyo kimsingi havifai kwenye masuala ya uokozi.

Bajeti ya Iran kwenye masuala ya kijeshi ni ndogo sana ukilinganisha na washindani wake hapo mashariki ya kati,Iran inatumia %5 tu ya pato lake kwenye masuala ya kijeshi.

Pia Iran mwaka 2023 aliuza bidhaa za viwandani zenye thamani ya $55bililion nje ya nchi aliizidi mpaka Uturuki, nchi kama hiyo huwezi kusema eti haijawekeza kwenye mambo ya kiraia.
 
Raisi wa nchi unampelekaje maeneo yenye risk kubwa kama hayo?

Hana washauri?

Inawezekana kweli huyu baba ni dikteta alikuwa ashauriki!!!!

Anachoamua ndio hicho hicho
Hili tukio limestaajabisha mataifa mengi.
Na limeibua maswali mengi na dhana nyingi.
Wengine wakidai huwenda hata ndani ya serikali kuna mkono umehusika.
 
Convoys zote za viongozi wa juu wa Iran ni gari za Kimarekani mfano mzuri ni hiyo helicopter Bell iliyoanguka.
 
Hapo ukizingatia tena spear zenyewe wananunua kwenye black market, unauziwa tu tracking device na circuits ambazo unaweza kucommunicate nazo remotely.
Kabisa mzee, wayahudi sio kwamba kwenye hayo mambo ndio wenyewe.

Russia wana ndege za kisasa, wana helicopters za maana, zinazoweza kuhimili hali mbaya ya hewa na uwezo wa kujihami ikitokea shambulizi, ndege ambazo ni kwa ajili ya VIP, sasa mijitu inamuweka rais kwenye ndege ya kimarekani wakati wanaelewa kabisa ni maadui.

Sasa na wao waache u$3ng3 wao kutengeneza makombora kila siku, wawekeze kwenye tech kutengeneza ndege, hili ni fundisho.
 

Inashangaza sana, tena Russia ni rafiki yao na ni mtemi anaweza hata kubeba hizo military equipment na kuwapelekea either na manowari au na zile cargo Antonov au hata zikatembea hapo kuelekea Iran with Russia military escort.

Rais anatembea maeneo hatarishi hakuna hata escort planes hata mbili angani, kifupi alikuwa vulnerable to be attacked na maadui zake, USA na Israel ukishakuwa na uadui nao kiasi cha uadui wa level na Iran ujue wako vitani na wewe muda wote na kinachotafutwa ni the right time for elimination.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…