Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

Hawa Wairan nashangaa imekuaje wanamsafirisha Rais kwa helicopter wakati hali ya hewa ni mbaya na wala haijashtukiza.

Ina maana hawajui kusoma hali ya hewa? Hawajui jiografia korofi ya eneo lile?
Hawana MEDEVAC hata ya VIP?
Helicopter ya mkuu wa nchi hata kuwa tracked hawawezi wanaleta visingizio eti kuna matope, miti na ukungu.

Alafu kwanini watumie Mil Mi-17 helicopter ya kizee vile haijalishi ni modernized kiasi gani imeishafikia limit. VIP transport ina helicopter zake za kisasa, hata sisi bongo tunazo Airbus kama mbili tu huwa mara nyingi zinaenda Airwing, Banana. Iran pale Mi-17 ilibidi waachiwe troops wa kawaida.
Sanctions za ndege na vifaa vyake
 
Imethibitishwa kuwa raisi wa Iran alikuwa ndani ya helicopter hiyo iliyopata ajali.

Vikosi vya uokoaji vimeshindwa kutambua na kufika neo husika ilipotokea ajali hiyo kwa sababu ya hali mbaya ya hewa.

Wengine waliokuwa kwenye helicopter hiyo ni pamoja na Governor wa East Azarbaijan, Ayatollah Al-Hashem na waziri wa mambo ya nje ya Iran Hossein Amir-Abdollahian.

=====

Helicopter carrying Iran's hard-line president apparently crashes in foggy, mountainous region​


DUBAI, United Arab Emirates (AP) — A helicopter carrying Iranian President Ebrahim Raisi, the country’s foreign minister and other officials apparently crashed in the mountainous northwest reaches of Iran on Sunday, sparking a massive rescue operation in a fog-shrouded forest as the public was urged to pray.

The likely crash came as Iran under Raisi and Supreme Leader Ayatollah Ali Khamenei launched an unprecedented drone-and-missile attack on Israel last month and has enriched uranium closer than ever to weapons-grade levels.
Iran has also faced years of mass protests against its Shiite theocracy over an ailing economy and women’s rights — making the moment that much more sensitive for Tehran and the future of the country as the Israel-Hamas war inflames the wider Middle East.

Raisi was traveling in Iran’s East Azerbaijan province. State TV said what it called a “hard landing” happened near Jolfa, a city on the border with the nation of Azerbaijan, some 600 kilometers (375 miles) northwest of the Iranian capital, Tehran. Later, state TV put it farther east near the village of Uzi, but details remained contradictory.
Read more
In this photo released by the Iranian Presidency Office, President Ebrahim Raisi attends the inauguration ceremony of dam of Qiz Qalasi, or Castel of Girl in Azeri, at the border of Iran and Azerbaijan with his Azeri counterpart Ilham Aliyev, Sunday, May 19, 2024. A helicopter carrying Iranian President Ebrahim Raisi suffered a hard landing on Sunday, Iranian state media reported, without immediately elaborating. (Iranian Presidency Office via AP)

Traveling with Raisi were Iran’s Foreign Minister Hossein Amirabdollahian, the governor of Iran’s East Azerbaijan province and other officials and bodyguards, the state-run IRNA news agency reported. One local government official used the word “crash,” but others referred to either a “hard landing” or an “incident.”
Neither IRNA nor state TV offered any information on Raisi’s condition in the hours afterward. However, hard-liners urged the public to pray for him. State TV later aired images of the faithful praying at Imam Reza Shrine in the city of Mashhad, one of Shiite Islam’s holiest sites, as well as in Qom and other locations across the country. State television’s main channel aired the prayers nonstop.

“The esteemed president and company were on their way back aboard some helicopters and one of the helicopters was forced to make a hard landing due to the bad weather and fog,” Interior Minister Ahmad Vahidi said in comments aired on state TV. “Various rescue teams are on their way to the region but because of the poor weather and fogginess it might take time for them to reach the helicopter.”

“The region is a bit (rugged) and it’s difficult to make contact,” he added. “We are waiting for rescue teams to reach the landing site and give us more information.”
In this photo provided by Islamic Republic News Agency, IRNA, the helicopter carrying Iranian President Ebrahim Raisi takes off at the Iranian border with Azerbaijan after President Raisi and his Azeri counterpart Ilham Aliyev inaugurated the dam of Qiz Qalasi, or Castel of Girl in Azeri, Iran, Sunday, May 19, 2024. A helicopter carrying President Raisi suffered a hard landing on Sunday, Iranian state media reported, without elaborating. (Ali Hamed Haghdoust/IRNA via AP)
In this photo provided by Islamic Republic News Agency, IRNA, the helicopter carrying Iranian President Ebrahim Raisi takes off at the Iranian border with Azerbaijan after President Raisi and his Azeri counterpart Ilham Aliyev inaugurated the dam of Qiz Qalasi, or Castel of Girl in Azeri, Iran, Sunday, May 19, 2024. A helicopter carrying President Raisi suffered a “hard landing” on Sunday, Iranian state media reported, without elaborating. (Ali Hamed Haghdoust/IRNA via AP)
IRNA called the area a “forest” and the region is known to be mountainous as well. State TV aired images of SUVs racing through a wooded area and said they were being hampered by poor weather conditions, including heavy rain and wind.

A rescue helicopter tried to reach the area where authorities believe Raisi’s helicopter was, but it couldn’t land due to the heavy mist, emergency services spokesman Babak Yektaparast told IRNA.
Long after the sun set, Iranian government spokesman Ali Bahadori Jahromi acknowledged that “we are experiencing difficult and complicated conditions” in the search.

“It is the right of the people and the media to be aware of the latest news about the president’s helicopter accident, but considering the coordinates of the incident site and the weather conditions, there is ‘no’ new news whatsoever until now,” he wrote on the social platform X. “In these moments, patience, prayer and trust in relief groups are the way forward.”
Raisi had been on the border with Azerbaijan early Sunday to inaugurate a dam with Azerbaijan’s President Ilham Aliyev. The dam is the third one that the two nations built on the Aras River. The visit came despite chilly relations between the two nations, including over a gun attack on Azerbaijan’s Embassy in Tehran in 2023, and Azerbaijan’s diplomatic relations with Israel, which Iran’s Shiite theocracy views as its main enemy in the region.

Iran flies a variety of helicopters in the country, but international sanctions make it difficult to obtain parts for them. Its military air fleet also largely dates back to before the 1979 Islamic Revolution. IRNA published images it described as Raisi taking off in what resembled a Bell 412 helicopter, with a blue-and-white paint scheme previously seen in published photographs.

Raisi, 63, is a hard-liner who formerly led the country’s judiciary. He is viewed as a protégé of Khamenei and some analysts have suggested he could replace the 85-year-old leader after his death or resignation from the role.
This is a locator map for Iran with its capital, Tehran. (AP Photo)
This is a locator map for Iran with its capital, Tehran. (AP Photo)
Raisi won Iran’s 2021 presidential election, a vote that saw the lowest turnout in the Islamic Republic’s history. Raisi is sanctioned by the U.S. in part over his involvement in the mass execution of thousands of political prisoners in 1988 at the end of the bloody Iran-Iraq war.

Under Raisi, Iran now enriches uranium at nearly weapons-grade levels and hampers international inspections. Iran has armed Russia in its war on Ukraine, as well as launched a massive drone-and-missile attack on Israel amid its war against Hamas in the Gaza Strip. It also has continued arming proxy groups in the Mideast, like Yemen’s Houthi rebels and Lebanon’s Hezbollah.

Meanwhile, mass protests in the country have raged for years. The most recent involved the 2022 death of Mahsa Amini, a woman who had been earlier detained over allegedly not wearing a hijab, or headscarf, to the liking of authorities. The monthslong security crackdown that followed the demonstrations killed more than 500 people and saw over 22,000 detained.

In March, a United Nations investigative panel found that Iran was responsible for the “physical violence” that led to Amini’s death.
President Joe Biden was briefed by aides on the Iran crash, but administration officials have not learned much more than what is being reported publicly by Iran state media, said a senior administration official, who was not authorized to comment publicly and spoke on condition of anonymity.

___​

Associated Press writers Nasser Karimi in Tehran, Iran, and Aamer Madhani in Washington contributed to this report.
Iran sasa imeelewa kuwa Israel yupo kazini. Yajayo........
 
kuna wairani pia hapa tanzagiza chanzo cha mateso yote na umaskini, D.Trump atawatandika akiingia ikulu januari 20 2025 inshallah, awatandike waiarani wa tanzagiza pia inshallah …
 
Hata Tz E1 akiwa anaruka wanazima transponder, ukitaka uamini siku ndege inapaa jaribu track 5HONE au 5HTCB hutaiona bali utaiona ikishatua

Hauwezi kuzima transponder... Ni kwamba hawajazi manifest ili kuzuia tailing... Huwezi jua anakwenda wapi point to point. Ndio hiyo utaona ukiondoka ila hutajua inakwenda wapi.. Na utaona ikitua bila kujua ilipotokea...

Transponder ni kwa ajili ya usalama wao na ndege... Ikitokea coffin mode wanajua pa kuanza kufanya searching and rescue operations. Kama kwenye hiyo chopa walizima transponder bhas maana yake hawakutaka wafikiwe au wajulikane walipo... So ni jambo jingine hilo
 
Nina maswali matatu.
Unaijua baab al mandib ilipo!?
Una ushahidi wa meli zilizokatazwa kuja East Africa!?
Unajua meli zilizoshambuliwa zilikua zina bendera ya nchi gan!?
MAERSK na Container liners nyingi zimeshambuliwa hadi zimebadili njia sasa hivi Wahouthi wanashambulia tu hadi Meli ya Kichina ilikula Kombora.

Wahouthi asilimia 100% wanakula Mirungi wakishalewa wanalianzisha.
 
MAERSK na Conteiner liners nyingi zimeshambuliwa hadi zimebadili njia sasa hivi Wahouthi wanashambulia tu hadi Meli ya Kichina ilikula Kombora.

Wahouthi asilimia 100% wanakula Mirungi wakishalewa wanalianzisha.
Umeulizwa hizo meli zilikua na bendera ya wapi na zilikua zinaelekea wapi!?
Bado hujajibu hili swali.
Pia maswali mawili hujajibu.
Maersk zinazoelekea India na Israel ndizo zilisitisha safari ya kupita BAAB AL MANDIB.
Ila Afrika mashariki kila siku meli zinakuja na kupakua mizigo,je hizo zinapita PACIFIC OCEAN!?
 
Au ukute wana wa yakobo wamelipa kisasi kutokana na ile delivery package ya 300 missiles kutoka uajemi kwa mfalme dario
 
Watu tupo tunafuatilia live news kutoka vyombo mbalimbali vya kimataifa wanaonesha eneo jirani na ajali inaposemekana kutokea hali ni mbaya mno huwezi kuona hata mita kadhaa mbele.

Sasa hapo utamhusisha mtu kwamba amesababisha ajali? Mkuu jaribu japo mara moja moja kuwa independent thinking person inasaidia ku criticize mambo na kuepuka kuendeshwa na mihemko ama mahaba niuwe.
Kwahiyo fleet ya Rais ni vilaza kujua kwamba hali ya hewa ni mbaya kwa helicopter hivyo waghairi safari kwa anga.

Ama basi Raisi ni muoga wa kusafiri kwa barabara, ama ni ubishi tu. Kobe Bryant afe kwa helicopter kisa ukungu alafu na Rais mzima afe kisa ukungu wakati ana team ya wataalamu wanaweza chukua option nyingine ya usafiri.
 
Umeulizwa hizo meli zilikua na bendera ya wapi na zilikua zinaelekea wapi!?
Bado hujajibu hili swali.
Pia maswali mawili hujajibu.
Maersk zinazoelekea India na Israel ndizo zilisitisha safari ya kupita BAAB AL MANDIB.
Ila Afrika mashariki kila siku meli zinakuja na kupakua mizigo,je hizo zinapita PACIFIC OCEAN!?
Weka source ya habari yako.
 
Mbwa sio haramu bali baadhi ya sehemu zake ni najisi hasa mdomoni hivyo unatakiwa kuwa makini nazo .
Siyo kweli, QUR'AN imehalalisha kula nyama za wanyama waliokamatwa na wanyama mliowafunza kuwinda,mbwa atakamataje mnyama bila kuhusisha mdomo na pua yake!?..hayo mengine ni uzushi nje ya Quran
 
Back
Top Bottom