Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
Mmeisha jitoa kumbukumbu sijuzi juzi tu haijafika hata miezi miwill alivyo mcharaza Israel 😄Labda Israel ya buza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmeisha jitoa kumbukumbu sijuzi juzi tu haijafika hata miezi miwill alivyo mcharaza Israel 😄Labda Israel ya buza
FOX huwa haina longo longo. View attachment 2994513View attachment 2994514
Wote hao ni Maayatola mmoja anajifanya Raisi mwingine anajifanya Mufti.
Namjua kuliko unavyo mjua wewe, ni mioga sana hata jiwe analiogopa na wakati ana bunduki na kifaru 😄Humjui myahudi wewe
Kahusika kupeleka hali ya hewa mbaya kwenda Iran?Israeli ni hatari sana, kahusika kwa 100%
Sio kama wanafikiri Ayatolah sasa ameshavua Bukta yuko na Mabikra 72 keshapewa Viagra anasubiri kitu kiamke?!
Usiwaamini CNN au media yeyote ya West hao wanaichukia sana Iran .hili tukio watalitumia effectively kusambaza propaganda.
Tulikua tunakuamini unatuletea "live coverage " ya hili tukio ila sasa umeanza kuleta habari za uongo.Nimeangalia mtandao wa X wananchi wa iran wanaombea Rais rais afe
Hii sio sawa
Kama simu inafanya kazi na wameongea na mmoja wao basi hali ni shwari dua za mahasidi zimeshindwa.BREAKING
Signals have been reportedly detected by the Iranian armed forces from President Raisi's helicopter and the mobile phone of a member of the flight crew, reports Iran’s Tasnim news agency, quoting an IRGC commander
–Al Jazeera
Waislamu mna mtindio wa ubongo, kichapo gani kisicho na vifo? Haya sasa pigo 1 rais na vibaraka wake hawaonekani. allah wakubaru, takbiriiiMmeisha jitoa kumbukumbu sijuzi juzi tu haijafika hata miezi miwill alivyo mcharaza Israel 😄
Kwani hata magu si wapo waliofurahi na wapo waliohuzunika?Nimeangalia mtandao wa X wananchi wa iran wanaombea Rais rais afe
Hii sio sawa
Tulikua tunakuamini unatuletea "live coverage " ya hili tukio ila sasa umeanza kuleta habari za uongo.
Jinga, how if Iran itself played......Hatoki mtu mule, iwe fundisho kucheza na mataifa teule.
Nasikia limebaki 🦍, minofu jamaa wameshapita nayo.Watakuta Kanzu na Kilemba.
Hii taarifa ya simu ni ipo tangu saa kumi na mbili imewekwa na media za iran, inakuwaje hadi sasa hawajafika eneo la tukio?Kama simu inafanya kazi na wameongea na mmoja wao basi hali ni shwari dua za mahasidi zimeshindwa.