Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HiiUkiingia hapo unaona live
Erdogan kimbelembele sana.Kupona ajali ya helicopter ni mara chache sana ila bado hawaipata kuna live coverage twitter ya drone ya turkey inayotafuta
Itakuwa Kama Ndege Ya Malaysia Boeing Iliyopotea Hadi KeshoAchakufa huyo kaka, na mkizubaa hata mwili wenu wa kuzika hamuupati - maana haki ya hewa ni mbaya sana waokoaji wanagwaya kufika eneo la tukio.
Vipi leo kuna challenge yoyote umeweka kule Tiktok mkuu😂😂😂😂
yeye hatakutana na mito ya pombe? hv iran ni sunni au shia?Yupo peponi na mabikira 700 muda huu anakula bata
wanausalama walaumiwe, walikubalije rais kupita eneo ambalo si salama tena kwa choper la kizamani.Mkuu naweza sema mjinga ni wewe.
Hilo eneo la huo ukanda siku zote huwa na hali ya ukungu kwa takriban mwaka mzima.
Pia hizo sehemu kama unataka upite salama na usafiri wa anga labda upae kwa higher altitude.
Kiufupi hilo eneo nature yake SI SALAMA SANA KWA USAFIRI WA HELICOPTER.
Na helikopta imeangukia msituni,na hilo eneo la msitu linalosemekana kuna deep cliffs.
Keshakufa mbona
Mossad?Si ajabu ukasikia imepotea
Yule nao atajaa tu kwenye Nyavu.
Duniani Kuna Mengi SanaKumbe huyu bwana ndio alikua mkuu wa kitengo cha kunyonya watu nchini Iran, sasa sijui yeye alifikiri hawezi kufa..❓❓❗❗
MamboErdogan kimbelembele sana.
Lakini si huwa tunaambiwa iran ipo vizuri sana kiteknolojia sasa imekuwaje tena.....
Kama kuna mkono wa Mossad wajiandae kupigwa makombora laki moja
wanausalama walaumiwe, walikubalije rais kupita eneo ambalo si salama tena kwa choper la kizamani.
Iran ina serikali kama ya CCM haipendi kusema ukweli kwenye mambo muhimu hasa Maendeleo
Iran inasifikia ni bingwa wa Tecknologia, ila imebidi Uturuki nchi ya NATO iwape msaada wa Drone za kisasa ambazo Iran huwa inajisifia ni bingwa wa kuziunda
View: https://x.com/AACanli/status/1792322175820591130
Kuna msemo unasema kujidanganya huna matatizo wakati unayo ni ujinga
Hapana mkuu, habari ni mbaya huyu mzee amekata moto kwenye hii ajali.
Tusubiri confirmation kutoka kwenye vyombo vya habari vya kuaminika.
Too sad.
I think notMhhhh
Hapa kuna wa Israel kabisaa
Wanatumia Bel212 ya Mwaka 1968 kwa Rais.....Kweli hawana akili...
The Bell 212 (also known as the Bell Two-Twelve) is a two-blade, medium helicopter that first flew in 1968. Originally manufactured by Bell Helicopter in Fort Worth, Texas, United States, production was moved to Mirabel, Quebec, Canada in 1988, along with all Bell commercial helicopter production after that plant opened in 1986.[2][3]
The 212 was marketed to civilian operators and has up to a 15-seat capacity, with one pilot and fourteen passengers. In cargo-carrying configuration the 212 has an internal capacity of 220 ft3 (6.23 m3). An external load of up to 5,000 lb (2,268 kg) can be carried.