ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Lakini Marehemu Rais wa Iran na Ayatollah wake wameua na kunyonya sana waandamanaji ,nao wamekufa kifo kibaya Cha kuungua na kubakia majivu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Since you blame the Jews for everything, the Jews made the weather bad., and crashed the helicopter with their magical powers.Iranian intelligence service has identified mossad agents involvement and they published names of those who are responsible one of the mossad agent identified is Eli kopter!!!...
Mkuu natizama hapa helikopta ilipoangukia aisee walistahili kutumia huo muda.Iran ndege ya Rais imedondoka wamefika eneo la tukio baada ya masaa 16.
Wakati Kaskazini mwa India kule Ladakh ambapo wana mgogoro na China kuna milima mikali ni uwanda wa juu sana na ukungu ni almost kila siku ila huwa wanarespond haraka kwa ajari.
Marekani F-35 ilidondoka baharini wakatuma vifaa viiondoe kwenye sakafu ya bahari. Hawa Iran wanasingizia hali ya hewa mbaya. Au kuna mkono wa mtu.
Anyway apumzike kwa amani na FM piaView attachment 2994762
Ila USA kupiga waandamanaji wa vyuo na mauaji ya kimbali ya kihistoria ya watu weusi sio laana?
Najua una-Maumivu makali sana ila relax kunywa maji maumivu yatapunguaOna huyu matako mwengine!
Masuala ya Iran na masuala ya kuabudu yanaingilianaje?
Embu ngojea niku block maana ni kichaa wewe.
kwa imani yao naskia anaenda kuwagegeda mabikra 72Apumzike wa amani
Hizi propaganda za West na udaku.Iranian intelligence service has identified mossad agents involvement and they published names of those who are responsible one of the mossad agent identified is Eli kopter!!!...
Kwa hivyo ameula?kwa imani yao naskia anaenda kuwagegeda mabikra 72
Only two or three things are certain there.Bad weather, ancient helicopter, recklessness (top officials in one plane), lack of planning, internal politics and foreign interference are all possible likelihood. But they all lineup in a perfect time.
They could only have run out of fuel. I googled the distance to be 8 hours from Teheran No way they can carry that much fuel.kwa kudra za allah na mudi atapatikana hai na tena akiwa hana hata chembe ya jeraha, japo mahasidi wanaropka hapa jukwaani kuwa eti ameng'ata shuka tayari.
Yupo salama kwenye pepo ya AllahRais yuko Salama kabisa
Helicopter ya executive haijafanyiwa service kwa miongo kadhaa duuh 🙌🙌🙌😂😂😂Hizi propaganda za West na udaku.
Mpaka sasa Israel haijaongea kitu,pia mataifa mengi yanasadikisha kuwa HELIKOPTA NI YA ZAMANI NA HAIKUFANYIWA MAINTANANCE ZAIDI YA MIONGO.
Hizi helikopta ni toka kipindi cha Mohammed Reza Pahlavi.
Uchakavu wa helikopta ndio umechangia.
Wabongo acheni udaku ilhali hao Israel wenyewe hawajazungumza kitu.
Maana pia ripoti za ndani zinadai humo humo Iran huwenda kuna hujuma imetendeka kwasababu Ebrahim Raisi alikua ni rais aliyethubutu kubadilisha momentum ya ushirikiano baina ya Iran na Lebanese-Hizbollah.
Mpaka sasa Hizbollah nao hawajaongea kitu.
Acheni udaku kama watoto wa kike.
Masaa zaidi ya 16 wanatafuta helicopter ya Rais. Drone ya Uturuki ikaingia kati kazi ikaisha harakaMkuu natizama hapa helikopta ilipoangukia aisee walistahili kutumia huo muda.
Kwanza eneo mvua kumbe ilinyeesha na ilikua bado inanyeesha,ina miteremko na mabonde ya ufa makubwa zaidi pia kuna misitu mikubwa.
Ila ndio hivyo Mungu ampokee.
Kwa mujibu wa mafundisho yao mzee itabidi ajipange vizuri kuwaridhisha hao mabikra aiseeKwa hivyo ameula?
Iran ni nchi inayoendeshwa kiislam,huyo Ayatollah ni sheikh mkuu,ambaye pia ni mkuu wa nchi,aliyekufa ni rais kiongozi wa shughuli za serikali.Mkuu naomba unieleweshe maana sielewi, rais wa sasa ndio anaitwa Raisi huyo kwenye picha? na huyu Ayatollah ni nani? maana hua nasikia sana jina la Ayatollah na nilijua ndie rais wa nchi, kama utawea naomba na picha za wote wawili, asante
1. Hali ya hewa mbaya kwa helcopter ya rais pekeeOnly two or three things are certain there.
*Bad weather.
*The oldage of helicopter and lack of maintanance.
*Internal politics conspiracy and espionage.
😂😂😂😂😂😂Hizi propaganda za West na udaku.
Mpaka sasa Israel haijaongea kitu,pia mataifa mengi yanasadikisha kuwa HELIKOPTA NI YA ZAMANI NA HAIKUFANYIWA MAINTANANCE ZAIDI YA MIONGO.
Hizi helikopta ni toka kipindi cha Mohammed Reza Pahlavi.
Uchakavu wa helikopta ndio umechangia.
Wabongo acheni udaku ilhali hao Israel wenyewe hawajazungumza kitu.
Maana pia ripoti za ndani zinadai humo humo Iran huwenda kuna hujuma imetendeka kwasababu Ebrahim Raisi alikua ni rais aliyethubutu kubadilisha momentum ya ushirikiano baina ya Iran na Lebanese-Hizbollah.
Mpaka sasa Hizbollah nao hawajaongea kitu.
Acheni udaku kama watoto wa kike.
It was pretty foggy and winds were extraordinary . Not all helicopters that crash into a mountain in zero visibility. A space laser aka DEW isn’t indicated at all. Ayatollah will blame Israel anyways. Iran messed up. I pray the people rise up & regain their Nation & freedom!!🔥👊🏼👁️Only two or three things are certain there.
*Bad weather.
*The oldage of helicopter and lack of maintanance.
*Internal politics conspiracy and espionage.