PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Hakutakuwa na UMEME,maji,mafuta,chakula wala mawasiliano... kumbuka baadhi ya hospital na majengo yaliyobaki watapigwa na mabomu na kambi zote za wakimbizi zitapigwa, hamas waendelee hivihivi kurefusha cease-fire itasaidia kupata muda wa mapumziko .Oiyeyai! Tumwombe sana Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema na Neema aliepushe hilo. Una maanisha kwamba Wapalestina wataondoshwa temporarily ili HAMAS wabaki peke yao hapo Gaza na ndo safisha-safisha kuu ifanyike ili kuhitimisha uwepo wa HAMAS kwenye uso wa dunia?
Itakuwa ni kilio na kusaga meno. Muda huo ukiwadia; Ingefaa HAMAS wakajikusanya pamoja kama kundi kubwa na kupeperusha bendera nyeupe kama ishara ya kuomba amani na kujisalimisha.Hakutakuwa na UMEME,maji,mafuta,chakula wala mawasiliano... kumbuka baadhi ya hospital na majengo yaliyobaki watapigwa na mabomu na kambi zote za wakimbizi zitapigwa, hamas waendelee hivihivi kurefusha cease-fire itasaidia kupata muda wa mapumziko .
Kama mateka wote wataachiwa hakutakuwa na kazi ya kutafuta tena mateka wala hawatahofia kupiga sehemu yeyote,Hali itakuwa mbaya zaidi
Mambo yanaoendana na kufakufa na kutawadhamarinda wanapendaga sana.Ni mara moja tu - na alishakufa kitambo 2024. Lakini anaweza kuzikwa hata mara kumi+..... kwa wanaopenda sherehe za mazishi. Hilo sio msiba.
Astakhafirulah. We jamaa, acha bhana.
Panga yako huna hatima ya watu katka mikono yako myahudi hata kaa atoboe katka ile ardhi sio kwasababu ya palestine, siku sunni Muslim watakapo pata akili ndio end of era. Lakini wameanza kuamkaAsubiri inayokuja itakuwa mbaya zaidi ambapo wapalestina wote wanaondoshwa Gaza..
Mauaji yatakayofanyika Gaza hakuna MTU ataweza kuishi tena hapo Gaza, baada ya ceasefire hapo middle east Moto utawaka kwelikweli
Siku zote huwa na nakuambia wewe upo chaka Sana🤣🤣Huyu Nasrallah anakufa kwa mara ya ngapi?
Saudi Arabia ambaye ni mshirika mkuu wa Marekani kamwe hawezi kuelewana na Mashia wa Iran.Panga yako huna hatima ya watu katka mikono yako myahudi hata kaa atoboe katka ile ardhi sio kwasababu ya palestine, siku sunni Muslim watakapo pata akili ndio end of era. Lakini wameanza kuamka
Siku zote zipi?Siku zote huwa na nakuambia wewe upo chaka Sana🤣🤣
Endelea kusubiri treni Bukoba..!!😧😧😧Panga yako huna hatima ya watu katka mikono yako myahudi hata kaa atoboe katka ile ardhi sio kwasababu ya palestine, siku sunni Muslim watakapo pata akili ndio end of era. Lakini wameanza kuamka
Kwamba ukiwa hauna kiburi hautaoza? Ndio maana wakristo mnyweshwa mpka jiki asee🤔hapo ndio tujifunze kiburi kina mwisho, yaani yule mdomo mchafu leo hii kashaoza.
Gaidi wengi wametokea katika Sunni Islam kwa mfano hawa waliopindua Syria sasa ni wanajiita na kjinasbisha na sunni ndio washenzi mfano hakuna hivyo sunni Muslim wanashida sana makundi mengi na mtindo ule wa kujiripua ni wao waanzilishi hakuna shia wanaovuka mipaka katka oparation zaoSaudi Arabia ambaye ni mshirika mkuu wa Marekani kamwe hawezi kuelewana na Mashia wa Iran.
Iran ni kitisho kikuu cha Wasunni, wataelewana na Sunni wa Hamas tu ambao ni magaidi wenzao.
Hizbollah ni Mashia.Gaidi wengi wametokea katika Sunni Islam kwa mfano hawa waliopindua Syria sasa ni wanajiita na kjinasbisha na sunni ndio washenzi mfano hakuna hivyo sunni Muslim wanashida sana makundi mengi na mtindo ule wa kujiripua ni wao waanzilishi hakuna shia wanaovuka mipaka katka oparation zao
Kumbe zle zakusema wafuasi wa Muhamad kuwa wazikke fastafasta na popote ni hekayaza waarabu weusi wa kamachum ila waarabu weupe wanataratibu zao zakumzka marhem kwa stahk njemaMara ya kwanza walimzika temporary kuogopa kipigo cha myahudi, sasa hivi ndio anazikwa rasmi baada ya mambo kutulia kidogo.
AmezikwaHuyu Nasrallah anakufa kwa mara ya ngapi?
Hata mimi nimeshangaa sana, hata yule Rais wa Iran sliyekufa kwenye ajari ya chopa hakuzikwa harakaharaka kama waislamu wa Buza.Kumbe zle zakusema wafuasi wa Muhamad kuwa wazikke fastafasta na popote ni hekayaza waarabu weusi wa kamachum ila waarabu weupe wanataratibu zao zakumzka marhem kwa stahk njema
IDF wameachia documentantion ya Shambulio, yaani inaonekana walikuwa wanatumia muda mwingi kukusanya mabakiHuyu Nasrallah anakufa kwa mara ya ngapi?
Unapoingia kwenye hizi discussions uje ukiwa na taarifa za kutosha hakuna mwalimu humu, tunashare information na kuwekana sawa tuHizbollah ni Mashia.
Huyu sio Ayatolah... 😆😁Kuna Maayatolah yanayojitambua