Rais wa Lebanon amwambia Spika wa Bunge la Iran: Tumelipa gharama kubwa kuwatetea Wapalestina na hivyo tumechoka na vita vya nchi nyingine!

Oiyeyai! Tumwombe sana Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema na Neema aliepushe hilo. Una maanisha kwamba Wapalestina wataondoshwa temporarily ili HAMAS wabaki peke yao hapo Gaza na ndo safisha-safisha kuu ifanyike ili kuhitimisha uwepo wa HAMAS kwenye uso wa dunia?
Hakutakuwa na UMEME,maji,mafuta,chakula wala mawasiliano... kumbuka baadhi ya hospital na majengo yaliyobaki watapigwa na mabomu na kambi zote za wakimbizi zitapigwa, hamas waendelee hivihivi kurefusha cease-fire itasaidia kupata muda wa mapumziko .

Kama mateka wote wataachiwa hakutakuwa na kazi ya kutafuta tena mateka wala hawatahofia kupiga sehemu yeyote,Hali itakuwa mbaya zaidi
 
Itakuwa ni kilio na kusaga meno. Muda huo ukiwadia; Ingefaa HAMAS wakajikusanya pamoja kama kundi kubwa na kupeperusha bendera nyeupe kama ishara ya kuomba amani na kujisalimisha.
 
Asubiri inayokuja itakuwa mbaya zaidi ambapo wapalestina wote wanaondoshwa Gaza..
Mauaji yatakayofanyika Gaza hakuna MTU ataweza kuishi tena hapo Gaza, baada ya ceasefire hapo middle east Moto utawaka kwelikweli
Panga yako huna hatima ya watu katka mikono yako myahudi hata kaa atoboe katka ile ardhi sio kwasababu ya palestine, siku sunni Muslim watakapo pata akili ndio end of era. Lakini wameanza kuamka
 
Saudi Arabia ambaye ni mshirika mkuu wa Marekani kamwe hawezi kuelewana na Mashia wa Iran.

Iran ni kitisho kikuu cha Wasunni, wataelewana na Sunni wa Hamas tu ambao ni magaidi wenzao.
 
Gaidi wengi wametokea katika Sunni Islam kwa mfano hawa waliopindua Syria sasa ni wanajiita na kjinasbisha na sunni ndio washenzi mfano hakuna hivyo sunni Muslim wanashida sana makundi mengi na mtindo ule wa kujiripua ni wao waanzilishi hakuna shia wanaovuka mipaka katka oparation zao
 
Hizbollah ni Mashia.
 
Mara ya kwanza walimzika temporary kuogopa kipigo cha myahudi, sasa hivi ndio anazikwa rasmi baada ya mambo kutulia kidogo.
Kumbe zle zakusema wafuasi wa Muhamad kuwa wazikke fastafasta na popote ni hekayaza waarabu weusi wa kamachum ila waarabu weupe wanataratibu zao zakumzka marhem kwa stahk njema
 
Hata mimi nimeshangaa sana, hata yule Rais wa Iran sliyekufa kwenye ajari ya chopa hakuzikwa harakaharaka kama waislamu wa Buza.
 
Hakuna kuchoka kwenye mapambano na mabeberu na wazayuni wao, aliechoka akae pembeni aachie medani wanaume. Bila sapoti ya mabeberu Leo uzayuni ungekuwa historia zamani chini ya mashujaa wapambanaji
"A luta continua; vitória é certa,"
"The struggle continues; victory is certain,"
Mapambano yanaendelea; ushindi ni wa uhakika,"
 
Back
Top Bottom