PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Hakutakuwa na UMEME,maji,mafuta,chakula wala mawasiliano... kumbuka baadhi ya hospital na majengo yaliyobaki watapigwa na mabomu na kambi zote za wakimbizi zitapigwa, hamas waendelee hivihivi kurefusha cease-fire itasaidia kupata muda wa mapumziko .Oiyeyai! Tumwombe sana Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema na Neema aliepushe hilo. Una maanisha kwamba Wapalestina wataondoshwa temporarily ili HAMAS wabaki peke yao hapo Gaza na ndo safisha-safisha kuu ifanyike ili kuhitimisha uwepo wa HAMAS kwenye uso wa dunia?
Kama mateka wote wataachiwa hakutakuwa na kazi ya kutafuta tena mateka wala hawatahofia kupiga sehemu yeyote,Hali itakuwa mbaya zaidi