Rais wa miaka 10 wa watu milioni 60, siku yake kubwa kuliko zote maishani ilikuwa kukutana na Michael Jackson na Rihanna!

Nxhi ndo iko kwao sasa, View attachment 2381924tufanyeje!!

Bata siku 5460, paradiso ya kukumbukwa
 

Bata siku 5460, paradiso ya kukumbukwa
 
Wamagharibi wanatawalana kwa Usekula acha kujidanganya wewe. Ukristo walishaanza kuupuuza tokea kuanzia karne ya 18 huko.

Ndio maana watu huko Ulaya na sehemu nyengine za Magharibi sasa hivi hawachomwi tena moto kwa sababu ya kulikataa kanisa au kulipinga, ndoa za jinsia moja zinahalalishwa, kuna uhuru wa kufanya machafu. Halafu Ubepari ni Ukristo kumbe!! Na nyinyi pia mna Sheria!! Si nasikia nyinyi hamna Sheria mko kiroho na Sheria ni mambo ya kimwili??
 
Sio lazima kila kitu uingize udini. Haipendezi kwa kusema kweli.

Amandla...
Halafu wao ndio wanaongoza kuwaita Waislam wadini.

Halafu cha ajabu uzi wenyewe hauhusiani kabisa na Uislam. Mtu anakuja kuutuhumu Uislam. Yaani kumbe hawa watu kwao mtu akiwa Muislam tu ni tatizo.

Islamophobia is real.
 
Hivi ikitoa mtu mmoja katika watu million sitini wanabaki million 59? Hesabu hii sijuwi umepiga kwa kutumia fomula ya wapi? Hapa imefanya na hoja yako isitiliwe maanani
 
Kumbe sio mjinga tu, pia hujiheshimu wewe mzee. Halafu kutwa kucha kuwasema wenzio hawako civilized.
Tatizo wewe ni wa dini ile! Ile ya zanzibara haitaki wakristo wajenge kanisa! Short of that ungelinielewa na kuelewa uhalkisia wa pwani
 
Unachanganya Western na Christian. Hakuna kitu kama Western Christian Philosophy. Nchi kutilia mkazo lugha za kiingereza na za kifaransa kama wanavyofanya China haina maana kuwa wanaiga Christian values. Wao value zao ziko based zaidi kwenye philosophy ya Confucius kuliko value za magharibi. In fact, wao wanaona value za magharibi zitawapoteza.

Spain ilitawaliwa kwa miaka 800 na waarabu. Kwa sababu hiyo utamaduni wao lugha, chakula n.k. mpaka zilikuwa influenced sana na waarabu.
Waarabu ndio waligundua mfumo wa decimal, algebra na waliendeleza sana trigonometry. Bila wao hizi hesabu tunazojifunza zisingekuwa hivyo. Waarabu ndio waliwafundisha wazungu matumizi ya sabuni n.k.

Tamaduni zote zilifaidika kutoka nyingine. Hata sisi waafrika tuliwainfluence wazungu katika art, muziki n.k. Na sasa hivi wanatambua kuwa tulikuwa tuna ujuzi zaidi kuhusu masuala ya mazingira, mimea asili kuliko walivyodhani.

Unazijua morals za viongozi wa magharibi kama Trump ( ambae ni muongo na kuna kila dalili kuwa ni mbakaji), Boris Johnson( muongo, mvivu n.k.) , Bezos ( mbinafsi wa kutupwa)? Au vikundi vya kikristu kama KKK ?

Udini ni kitu kiovu na hakistahili kuingizwa katika majadiliano kama haya. Mkosoe Kikwete kama unataka lakini usitumie mapungufu yake kupaka matope dini yake.

Amandla....
 
Halafu wao ndio wanaongoza kuwaita Waislam wadini.

Halafu cha ajabu uzi wenyewe hauhusiani kabisa na Uislam. Mtu anakuja kuutuhumu Uislam. Yaani kumbe hawa watu kwao mtu akiwa Muislam tu ni tatizo.

Islamophobia is real.
Na wewe unarudia kosa la mwenzako. Mimi ni mmisheni pure lakini sikubaliani na msimamo wake. Sio kila mtu anayempinga ni muislamu maana sio wakristu wote wana chuki na waislamu. Unavyosema "hawa watu" inaonyesha hauna tofauti na huyo unaemsema.

Amandla....
 
Tatizo wewe ni wa dini ile! Ile ya zanzibara haitaki wakristo wajenge kanisa! Short of that ungelinielewa na kuelewa uhalkisia wa pwani
Inferiority complex na ujinga vinakusumbua we mzee. So ili usijihisi duni ndio mara uwakejeli watu wa Pwani, mara uwakejeli watu wa Mbagala ili tu ujisikie vizuri kutokana na inferiority complex na insecurities ulizo nazo.

Acha ujinga we mzee. Hovyo kabisa.
 
Nimekuelewa mkuu.

Heshima kwako

Amani.
 
Mungu ameamua ugomvi kwa kuwaambia ukweli watanzania !! Msema Kweli ni mpenzi wa Mungu!! Isingependeza kama angewadanganya !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…