UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 9,454
- 8,894
Shetani na nusu ni yule jamaa yetu anayeshikishwa ukuta kule ubeberuni. Hakuna Ushetani kuzidi hapo.Hapana. Serikalinya hivyo kabisa kuwahi kutokea ni ya jiwe. Yule alikuwa shetani na nusu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shetani na nusu ni yule jamaa yetu anayeshikishwa ukuta kule ubeberuni. Hakuna Ushetani kuzidi hapo.Hapana. Serikalinya hivyo kabisa kuwahi kutokea ni ya jiwe. Yule alikuwa shetani na nusu
Nxhi ndo iko kwao sasa, View attachment 2381924tufanyeje!!
Wamagharibi wanatawalana kwa Usekula acha kujidanganya wewe. Ukristo walishaanza kuupuuza tokea kuanzia karne ya 18 huko.Basi sema shida iko wapi? Huu ni ukweli ulio wazi na wala siyo udini, mfumo wa Kiuchumi unaondesha Dunia ya leo ni Christian au unatokana na Western Christian philosophy, na kila nchi inayotaka kuendelea ni lazima itaiga Christian way of education, work ethics etc Japan waliiga, Korea, Taiwan, Singapore na hata China wanaiga pia wanaendelea vizuri, huwezi kukuta Kiongozi mkubwa China au Japan anaongea kama huyo mzee na cha ajabu ametembea sana kila siku yuko nije lkn bado hauoni tofauti, ni kwa nini unafikiri?
Halafu wao ndio wanaongoza kuwaita Waislam wadini.Sio lazima kila kitu uingize udini. Haipendezi kwa kusema kweli.
Amandla...
Nasindikiza na hiki kibao asikilize JK cha Rihanna
Mpuuzi tu wewe mzee. Mtu mzima lakini hovyo kabisanajua nimekugusa. Niliomba samahhhhhhhhhhli utakuwa na response kama yako. Pole!
Ana ujinga mwingiKichekesho ni kwamba haoni taabu kukubali kuwa yeye ni mzee.
kama baba yako alivyo hovyo kuzaa takataka kama weweMpuuzi tu wewe mzee. Mtu mzima lakini hovyo kabisa
Kumbe sio mjinga tu, pia hujiheshimu wewe mzee. Halafu kutwa kucha kuwasema wenzio hawako civilized.kama baba yako alivyo hovyo kuzaa takataka kama wewe
Tatizo wewe ni wa dini ile! Ile ya zanzibara haitaki wakristo wajenge kanisa! Short of that ungelinielewa na kuelewa uhalkisia wa pwaniKumbe sio mjinga tu, pia hujiheshimu wewe mzee. Halafu kutwa kucha kuwasema wenzio hawako civilized.
Unachanganya Western na Christian. Hakuna kitu kama Western Christian Philosophy. Nchi kutilia mkazo lugha za kiingereza na za kifaransa kama wanavyofanya China haina maana kuwa wanaiga Christian values. Wao value zao ziko based zaidi kwenye philosophy ya Confucius kuliko value za magharibi. In fact, wao wanaona value za magharibi zitawapoteza.Basi sema shida iko wapi? Huu ni ukweli ulio wazi na wala siyo udini, mfumo wa Kiuchumi unaondesha Dunia ya leo ni Christian au unatokana na Western Christian philosophy, na kila nchi inayotaka kuendelea ni lazima itaiga Christian way of education, work ethics etc Japan waliiga, Korea, Taiwan, Singapore na hata China wanaiga pia wanaendelea vizuri, huwezi kukuta Kiongozi mkubwa China au Japan anaongea kama huyo mzee na cha ajabu ametembea sana kila siku yuko nije lkn bado hauoni tofauti, ni kwa nini unafikiri?
Na wewe unarudia kosa la mwenzako. Mimi ni mmisheni pure lakini sikubaliani na msimamo wake. Sio kila mtu anayempinga ni muislamu maana sio wakristu wote wana chuki na waislamu. Unavyosema "hawa watu" inaonyesha hauna tofauti na huyo unaemsema.Halafu wao ndio wanaongoza kuwaita Waislam wadini.
Halafu cha ajabu uzi wenyewe hauhusiani kabisa na Uislam. Mtu anakuja kuutuhumu Uislam. Yaani kumbe hawa watu kwao mtu akiwa Muislam tu ni tatizo.
Islamophobia is real.
Inferiority complex na ujinga vinakusumbua we mzee. So ili usijihisi duni ndio mara uwakejeli watu wa Pwani, mara uwakejeli watu wa Mbagala ili tu ujisikie vizuri kutokana na inferiority complex na insecurities ulizo nazo.Tatizo wewe ni wa dini ile! Ile ya zanzibara haitaki wakristo wajenge kanisa! Short of that ungelinielewa na kuelewa uhalkisia wa pwani
Nimekuelewa mkuu.Na wewe unarudia kosa la mwenzako. Mimi ni mmisheni pure lakini sikubaliani na msimamo wake. Sio kila mtu anayempinga ni muislamu maana sio wakristu wote wana chuki na waislamu. Unavyosema "hawa watu" inaonyesha hauna tofauti na huyo unaemsema.
Amandla....
Mzee, hujatutendea haki, hujarudisha heshima tuliyokupa.
The biggest day of your life haiwezi kuwa siku uliyokutana na Rihanna na Michael Jackson... Jamani!
Kwa miaka kumi ukiingia bafuni Mikocheni sisi tunaanza kusimamishwa Kiwalani kujiandaa kukupisha unaenda Airport, ukija msibani na harusini tunasimamisha kusali, kulia, kula, kuongea, mpaka we ukasaini kitabu ukakae chini, umestaafu unatumia jumba la serikali bure, petroli bure, vocha ya simu bure, mlinzi bure, mpishi, karani, dereva, shamba boy, and so forth and so forth and so forth.... Kijana wako na mke wako tumewapa ubunge na uwaziri si kwa lolote la kiuongozi walilofanya kabla ya hapo bali kwa heshima yako wewe.....
Lakini the greatest day of your life ni kukutana na Rihanna!
Hukumbuki hata siku moja uliyolala na amani kwa kupata majawabu ya tatizo moja la Mtanzania? Tanzania tuna shida milioni 60, kila mtu ana msongo, jana umetangazwa mgao wa umeme D'Salaam, kwa hiyo hata kwa Mo Dewji nako wamelala na mikelele ya genereta. Walobaki milioni 59 wamelala na mlo mmoja. Hukumbuki hata siku ulioapishwa Rais wetu? Basi ungevunga kwa kutaja siku uliyomuoa Salma, manake nae kakufumbia macho kwa makandokando kibao! Unampaisha Rihanna and your wife is sitting right next to you!
Halafu huna noma unasema ulikutana na Michael Jackson hotelini Spain ukiwa Waziri wa Madini. Hoteli pendwa ya Michael Jackson akiwa Spain ilikuwa ni WESTIN PALACE MADRID, jina lake lingine ni "the icon of luxury!"
Waziri na Rais wa nchi ambayo wasafiri tunasimamishwa vichakani "kuchimba dawa" kwa saab hatuna rest areas zenye vyoo njiani, unatumia viji tozo vyetu kukodi hoteli anayofikia Michael Jackson! Jamani! Na sijui kampuni gani la Spain ulilileta lije kutupiga makinikia..... Msalie Mtume!
Waafrika, nani atatuokoa????
View attachment 2381816