Rais wa miaka 10 wa watu milioni 60, siku yake kubwa kuliko zote maishani ilikuwa kukutana na Michael Jackson na Rihanna!

Halafu wao ndio wanaongoza kuwaita Waislam wadini.

Halafu cha ajabu uzi wenyewe hauhusiani kabisa na Uislam. Mtu anakuja kuutuhumu Uislam. Yaani kumbe hawa watu kwao mtu akiwa Muislam tu ni tatizo.

Islamophobia is real.
Udini udini ni Ujinga ujinga !! Kila mtu ana dini yake na wengine hawana dini kabisa !! Ubaguzi ni Ushetani !!
 
Afadhali yake he yule mwingine ambayo siku yake asiyoweza kuisahau ni siku aliyomuua Ben
 
NI KWELI NDIPO TULIPOFIKIA, AKILI YAKO IKIWA INAWAZA FITINA MDA WOTE UNATEGEMEA NINI? YEYE ALIJIKITA KUMZUIA LOWASSA
 
Mkuu, lakini akina Alhaj Aliko Dangote, Nassef Sawiris, Albdulsamad Rabiu, nk mbona wapo vizuri kwenye mkwanja na ni wa Imani hiyo?
 

Siyo kweli, Capitalism and free market economic system imeanzishwa na Western Christianity, na Capitalism inayo ongoza Dunia ya leo ni mzao wa Christianity (western).

Yes Christianity iko tofauti pia, kuna Eastern Orthodox Christianity ambayo iko Eastern Europe wana hata Christmas yao na New Year ni tofauti, wanasherehekea Christmas Januari na New Year pia Januari na karibia Eastern Europe yote mpaka Urusi ni Orthodox.

Western Christianiaty ndiyo iliyotamalaki na ndiyo inayoongoza Dunia ya leo hata hii Calenda inaitwa Gregorian Calender ni Western unafikiri kwa nini Dunia nzima inasherehekea New Year December 31/1 January? Kwa nini Waislamu kama Kikwete anasema ana miaka 72 kwa kutumia kalenda gani? Kwa maana Kalenda ya Kiislamu ni nyingine hivyo hata Waislamu wansherehekea Birthday kwa kufwata Western Christianity System kwa maana Uislamu una kalenda yake na leo Kiislam ni mwaka 1444 na siyo 2022 kama anaosherehekea Kikwete &Co.

Hata China wana Kalenda na New Year yao lkn wote wanafwata western calender yaani mwaka 2022, …
 
Mkuu, lakini akina Alhaj Aliko Dangote, Nassef Sawiris, Albdulsamad Rabiu, nk mbona wapo vizuri kwenye mkwanja na ni wa Imani hiyo?

Siku zote kuna exceptions, kuna watu ambao huwa wanachomoza regardless of the sitauation ndo maana unaweza kukuta Shule mbovu hakuna walimu madarasa yamejaa hakuna vitabu lkn kuna Watoto (baadhi) wanatoboa ragardless of the circumstances na wanafika mbali mpaka wegine wanakuwa PhD holders baadaye lkn wengi wao waliopitia hizo shule hawakufika popote kwa maana System au mazingira hayakuwa rafiki kwao.

Jiulize kwa nini Zanzibar au Komoro siyo kama Mauritius au Seychelles kiuchumi? Kinachotofautisha Seychelles/ Mauritius vs Zanzibar/ Comoro/ Lamu ni kipi ?
 
Kwa kweli !!
Kwa kweli ni maajabu lakini ndio ukweli wenyewe bado tutapata tabu sana !!
 
Sasa mtu asiseme ukweli ? Katika yote hilo analikumbuka zaidi na vile lilivyokuwa kuanzia bata lake na makando kando yake kibao wakati huo. Kuapishwa sio kitu kabisa kwa mwana ccm amabaye amepewa kugombea maana tayari anakuwa raisi.
 
Nadhani nimda mwafaka watuambie na gharama za kutangaxa hii birthday na ctoods fm nani analipa, au ufadhiri wa nani..! Na argenda kuu ni nini..! Kama ni urai wa mtt wa mramba asali basi watakuwa wamedanganywa na utafiti wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…