Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 6,053
- 10,032
- Thread starter
- #81
🤣Kuita rais nyapara sioni tatizo. Watanzania wengi wana tatizo la nidhamu iliyopitiliza na "lese majeste" ya kujitakia.
Uongozi gunia la chawa. Moja ya mishahara ya uongozi ni kuitwa majina ya kila aina, kwa haki na bila haki.
Tatizo Mtanzania anapopendekeza rais wa Kenya kuwa rais wa Afrika.
Ina maana yeye kashakubali chama chake hakiwezi kupata uongozi wa nchi yake kikaongoza nchi na Afrika.
Hii ni kauli ya mtu asiyejitambua na aliyekata tamaa.