Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,753
- 3,685
Roho mtakatifu ndivyo anavyoitwa hivyo kwa kigiriki?
Ndivyo Roho Mtakatifu anavyoitwa kwa kigiriki ?Nilishakujibu rudia majibishano yetu hapa tokea huko awali. Fools despise wisdom and instructions.
Shida nini mpaka uzi ufungiweAnae diskasiwa hapa ni Aliekuwa RAIS wa nchi ifike mahali JamiiForums muwe na heshima na mjue nini mnafanya.
Fungeni comment watu wasiweze changia tena huu uzi waliochangia wanatosha,mwisho ni kutafutia watu BAN bure huu uzi hauna haja ya kuchangiwa tena umeshaisha muda wake,zingatieni hilo.
Muwe na Heshima walau kidogo tumieni hekima ktk mambo yenu sio kila kitu mpaka muambiwe au mfundishwe kuna namna tu vingine mnajiongeza.
Moderator
Maxence Melo
Asha D Abinallah
Wanasema ni nini kilimuuwa?
Kuna conspiracy theories nyingi.Wanasema ni nini kilimuuwa?
Anae diskasiwa hapa ni Aliekuwa RAIS wa nchi ifike mahali JamiiForums muwe na heshima na mjue nini mnafanya.
Fungeni comment watu wasiweze changia tena huu uzi waliochangia wanatosha,mwisho ni kutafutia watu BAN bure huu uzi hauna haja ya kuchangiwa tena umeshaisha muda wake,zingatieni hilo.
Muwe na Heshima walau kidogo tumieni hekima ktk mambo yenu sio kila kitu mpaka muambiwe au mfundishwe kuna namna tu vingine mnajiongeza.
Moderator
Maxence Melo
Asha D Abinallah
Ubishi wenu ni wa kipumbavu, nendeni jukwaa la dini huko au kwenye vijiwe vya kahawa. Huu uzi ni wa taarifa ya msiba.Hivyo ndiyo ilivyoandikwa Roho mtakatifu kwa kigiriki?
Ubishi wenu ni wa kipumbavu, nendeni jukwaa la dini huko au kwenye vijiwe vya kahawa. Huu uzi ni wa taarifa ya msiba.Usichukulie vitu jumla jumla. Koine Greek.
Na kukumbusha tena Bwana Yesu aka Mungu pamoja nasi wanadamu. Aliye zaliwa na Bikira Mariaum akaja kuishi nasi alisema hivi. Ili uone ufalme wa mbinguni utaratibu ni huu.
Umkubali kwa kusikia Neno lake (Uwe na Imani kwake) then Utubu dhambi zako then Ubatizwe kwa maji na kwa Roho Mtakatifu. Hamna njia mbadala ya huu utaratibu.
Ubishi wenu ni wa kipumbavu, nendeni jukwaa la dini huko au kwenye vijiwe vya kahawa. Huu uzi ni wa taarifa ya msiba.
Zama hizi bado kuna watu wanabishania dini!!!????
Wasukuma mmechemka, nchi sio zizi la mbuziRest in power Ngosha. And rest well.
You made your mark. Damn! I miss you already.
Respect.
πͺ
Ni kama bado sijaelewa.Kuna conspiracy theories nyingi.
1.Ugonjwa wa kweli Kama ilivyosema serikali.
2.Wajanja walitempa na pacemaker kwa kutumia vifaa maalum vinavyoharibu mfumo wa mawimbi ya mapigo ya moyo yanayoratibiwa na pacemaker.
Ni kama bado sijaelewa.
Unahasira hadi na komenti zetu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Anae diskasiwa hapa ni Aliekuwa RAIS wa nchi ifike mahali JamiiForums muwe na heshima na mjue nini mnafanya.
Fungeni comment watu wasiweze changia tena huu uzi waliochangia wanatosha,mwisho ni kutafutia watu BAN bure huu uzi hauna haja ya kuchangiwa tena umeshaisha muda wake,zingatieni hilo.
Muwe na Heshima walau kidogo tumieni hekima ktk mambo yenu sio kila kitu mpaka muambiwe au mfundishwe kuna namna tu vingine mnajiongeza.
Moderator
Maxence Melo
Asha D Abinallah
kwani hivyo ulivyoandika unabishania kitu gani ?? msibaππUbishi wenu ni wa kipumbavu, nendeni jukwaa la dini huko au kwenye vijiwe vya kahawa. Huu uzi ni wa taarifa ya msiba.
Zama hizi bado kuna watu wanabishania dini!!!????