TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Anae diskasiwa hapa ni Aliekuwa RAIS wa nchi ifike mahali JamiiForums muwe na heshima na mjue nini mnafanya.

Fungeni comment watu wasiweze changia tena huu uzi waliochangia wanatosha,mwisho ni kutafutia watu BAN bure huu uzi hauna haja ya kuchangiwa tena umeshaisha muda wake,zingatieni hilo.

Muwe na Heshima walau kidogo tumieni hekima ktk mambo yenu sio kila kitu mpaka muambiwe au mfundishwe kuna namna tu vingine mnajiongeza.

Moderator
Maxence Melo
Asha D Abinallah
Shida nini mpaka uzi ufungiwe
 
Tuki assume waliochangia uzi huu ni wa Tamzania.

Ni watu 2400 kati 50,000,00+ waliochangia uzi huu. Ni asilimia ndogo.sana waliopata mafasi ya kuchamgia hivyo si vema kufunga uzi, uachwe kama kuna wachangiaji zaidi waendelee kuchangia.
 
Hivyo ndiyo ilivyoandikwa Roho mtakatifu kwa kigiriki?
Ubishi wenu ni wa kipumbavu, nendeni jukwaa la dini huko au kwenye vijiwe vya kahawa. Huu uzi ni wa taarifa ya msiba.
Zama hizi bado kuna watu wanabishania dini!!!????
 
Usichukulie vitu jumla jumla. Koine Greek.

Na kukumbusha tena Bwana Yesu aka Mungu pamoja nasi wanadamu. Aliye zaliwa na Bikira Mariaum akaja kuishi nasi alisema hivi. Ili uone ufalme wa mbinguni utaratibu ni huu.

Umkubali kwa kusikia Neno lake (Uwe na Imani kwake) then Utubu dhambi zako then Ubatizwe kwa maji na kwa Roho Mtakatifu. Hamna njia mbadala ya huu utaratibu.
Ubishi wenu ni wa kipumbavu, nendeni jukwaa la dini huko au kwenye vijiwe vya kahawa. Huu uzi ni wa taarifa ya msiba.
Zama hizi bado kuna watu wanabishania dini!!!???? Ujinga Ujinga Ujinga
 
Ubishi wenu ni wa kipumbavu, nendeni jukwaa la dini huko au kwenye vijiwe vya kahawa. Huu uzi ni wa taarifa ya msiba.
Zama hizi bado kuna watu wanabishania dini!!!????

Neno la Msalaba kwao waliopotea ni ujinga/upumbafu bali kwa walio okolewa na kuipokea imani ni uzima wa milele. Sikushangai na kuonea huruma tu.
 
Mwisho wa ubabe na udikteta ......sikutakii mema.huko uendako......asante Yesu
 
Kuna conspiracy theories nyingi.

1.Ugonjwa wa kweli Kama ilivyosema serikali.

2.Wajanja walitempa na pacemaker kwa kutumia vifaa maalum vinavyoharibu mfumo wa mawimbi ya mapigo ya moyo yanayoratibiwa na pacemaker.
Ni kama bado sijaelewa.
 
Nasema futeni huu Uzi mara moja kabla sijamwaga ubongo wa mtu
FB_IMG_16175432518436816.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anae diskasiwa hapa ni Aliekuwa RAIS wa nchi ifike mahali JamiiForums muwe na heshima na mjue nini mnafanya.

Fungeni comment watu wasiweze changia tena huu uzi waliochangia wanatosha,mwisho ni kutafutia watu BAN bure huu uzi hauna haja ya kuchangiwa tena umeshaisha muda wake,zingatieni hilo.

Muwe na Heshima walau kidogo tumieni hekima ktk mambo yenu sio kila kitu mpaka muambiwe au mfundishwe kuna namna tu vingine mnajiongeza.

Moderator
Maxence Melo
Asha D Abinallah
Unahasira hadi na komenti zetu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ubishi wenu ni wa kipumbavu, nendeni jukwaa la dini huko au kwenye vijiwe vya kahawa. Huu uzi ni wa taarifa ya msiba.
Zama hizi bado kuna watu wanabishania dini!!!????
kwani hivyo ulivyoandika unabishania kitu gani ?? msiba😛😛
 
Tunapomalizia siku 21 za maombolezo imanibidi nimalizie kwa kuiruhusu adhabu hiyo ifanye kazi endapo kuna 'fault play' ilifanyika kupelekea kumpoteza shujaa wetu aliyeacha 'road map' ya kuifikia Kaanani yetu! Nchi ambayo ingekuwa zaidi ya nchi ya Gaddafi wakati akiwa hai! Baada ya kumaliza miradi ya kimkakati, kingefuata elimu bure mpaka chuo kikuu kokote duniani! Huna ajira unapewa mtaji! Nk!
Mungu wetu Mwema, tunaomba kwa kadri ya wingi wa rehema zako, Umpe pumziko la amani la milele, mwanao, shujaa wetu Mh. Dr. John Pombe Joseph Magufuli, rais wetu mpendwa sana wa serikali yetu pendwa sana ya awamu ya ✊, amen🙏🙏🙏!
Wakati huohuo, tunamuombea rais wetu mpendwa Mh Mama SSH rais wetu mpendwa umjalie moyo mkuu, wa ushujaa na hekima ili aliongoze vyema zaidi taifa letu la Tanzania! Mungu husika Mwenyewe ktk uongozi wa taifa letu, viongozi binadamu tulionao tunaomba uwatumie kama vifaa tu bali Wewe Mwenyewe Mungu uongoze Mwenyewe nchi yetu ya Tanzania 🙏🙏🙏, amen!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom