TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Mama Samia jitahidi usimuangushe Magufuli, kaza msimamo mama simama kama vile hakuna kilichopungua.
Ushauri mbaya unampa huyo mama.

Mazuri ayaendeleze, yale mabaya atupilie mbali.

Hapo na yeye atakuwa amejijengea heshima yake ndani ya taifa hili.
 
Reactions: BAK
Ngoja tuone Mkuu watu wamechoshwa na DHULUMA NA UDHALIMU wa kutisha tangu 2015 ni lazima abadili mwelekeo ili kuleta mshikamano uliopotea nchini vinginevyo nchi ITALIPUKA NA KUWAKA MOTO.


Ili apambane lazima atafute timu either awe mchato au yatima JK
 
We have to live in fulest guys!!!

Life iz too short
 
Nchi irudi kwenye WHO guidelines haraka tunapoteza Wazee na watu wenye maradhi kwa wingi sana.

Tushtuke! mitaani hali ni mbaya sana.
 
Da! Pumzika kwa Amani Watanzania tunapitia katika hali ngumu 😭😥😥 Njia yetu moja
 
Huu msiba umenifanya nikumbuke siku ya msiba wa baba yangu

Yaani nahisi Magufuli ndio baba yangu amekufa leo, dah ngoja ninyonge bange kwanza, sio kwa wenge hili!
Mkuu uko wapi nije tupige Dawa? Hii habari imenifyatua kinyama yani.
 
Aiseee...

Sijui kwanini habari za misiba huwa hazinishtui kabisa
Wewe una roho ngumu😂😂😂 ,ila mshukuru na ingia whatsapp kwa pc ,vinginevyo kesho tungekutana katika status
 
Daaah, Inna illahi wa inna lillahi rajiun. Njia yetu wote ni hii hii, no escaping the taste of death. Mola atupe mwisho mwema.
 
Hata huyo alisemaga hivyo lkn hatunaye tena. Hata wale waliompiga risasi Tundu Lissu ajabu wakatangulia wakamuacha Lissu anapeta.
Haya maisha unabidi uishi na watu vizuri.
Sio tu kuishi na watu vizuri bali kuchunga sana kauli. Huu mwezi umemeza vichwa vya kutosha na mashuhuri na ndio kwanza kuna siku za kutosha zimebakia.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…