Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Pole sana. Maisha lazima yasonge mbele... nchi hii ni yetu sote...No comment nisije nikamkasirisha Mungu
Tujifunze kunyamaza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana. Maisha lazima yasonge mbele... nchi hii ni yetu sote...No comment nisije nikamkasirisha Mungu
Tujifunze kunyamaza
Tunakoenda ni kuzuri zaidiPole sana. Maisha lazima yasonge mbele... nchi hii ni yetu sote...
Ushauri mbaya unampa huyo mama.Mama Samia jitahidi usimuangushe Magufuli, kaza msimamo mama simama kama vile hakuna kilichopungua.
Ili apambane lazima atafute timu either awe mchato au yatima JK
Tunakoenda ni kuzuri zaidi
At the end of tunnel hahahahhh tumeibuka nuru kama nuru
Ni nabiiNakusalimia Best wangu. Lema ni Nabii.
Mkuu uko wapi nije tupige Dawa? Hii habari imenifyatua kinyama yani.Huu msiba umenifanya nikumbuke siku ya msiba wa baba yangu
Yaani nahisi Magufuli ndio baba yangu amekufa leo, dah ngoja ninyonge bange kwanza, sio kwa wenge hili!
Kazaneni kujifukiza
Kifo ni habari nyingine mzeeKumbe kuna watu wengine humu walikuwa wanamkubali Magu japo kimya kimya?!!!
Wewe una roho ngumu😂😂😂 ,ila mshukuru na ingia whatsapp kwa pc ,vinginevyo kesho tungekutana katika statusAiseee...
Sijui kwanini habari za misiba huwa hazinishtui kabisa
Kwa lipi?Baada ya kuondoka ndio sasa mtauona umuhimu wake
Sio tu kuishi na watu vizuri bali kuchunga sana kauli. Huu mwezi umemeza vichwa vya kutosha na mashuhuri na ndio kwanza kuna siku za kutosha zimebakia.Hata huyo alisemaga hivyo lkn hatunaye tena. Hata wale waliompiga risasi Tundu Lissu ajabu wakatangulia wakamuacha Lissu anapeta.
Haya maisha unabidi uishi na watu vizuri.