TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
msimlaumuu alikua anaongea tu kufunika hali hakua na taarifa sahihi ; kina Bashiru ; msigwa ; dotto ; dr hassan na wengine ndio walikua wanajua
ndio maana mnaona in frustration aliamua hata kukata ziara aka tulia maana kauli yake ilimuaibisha
Kwa nini walikuwa wanaficha taarifa za kuumwa kwake kwani kuumwa jambo la ajabu?!
 
1616029555454.jpeg
 
Sio kweli, kiasi alipoingia madarakani unyonyaji ulipungua, niulize mimi tulichofanyiwa kwenye viwanja vyetu, tumenyanyaswa na matajiri tukanyang'anywa ardhi na vigogo kisa kutoa rushwa,
Unajua kuna kundi kubwa la wanufaika wa utawala wa hayati Rais Magufuli ambalo lilikuwa silent mtaani, kundi ambalo wewe pia umo ndio ambao wataomboleza sana huu msiba. Wale ambao walipitia manyanyaso ya kimaisha toka katika kundi dogo la wenye nacho. Japo mambo yamekuwa magumu ila atleast utu wako unathaminiwa na kila mtu na hata sehemu za kupata huduma unapewa kwa adabu tofauti na tawala iliopita.

Kuna kundi flani litashangilia ambalo ni kundi la watu dhalimu ambao walikatwa mikia na kudhihirishiwa kuwa utawala wake ni imara na unaweza kuwatikisa hivyo wasilete mambo ya ajabu ajabu. Hawa watu ndio wanaoshangilia kifo chake.
 
Ktk hotuba yake kule tanga alijohoa na kulazimika kuweka maiki pembeni

Leo wakati anatangaza naomba ufanye tathmini namna alivyokuwa amavuta pumzi kwa shida kidogo kisha utapata jibu.
Kwahiyo unataka kutuambia tuwe na mioyo ya subira? Au?
 
Swali la kizushi

Huyo ADC kamanda anayesimama nyuma ya Rais atakuwa ni mwanaume au mama Samia atasimamiwa na ADC wa kike nyuma?
 
Ninasikiliza redio karibu zote za hapa nilipo

Zinapiga nyimbo za msibani tu.

Kuna jambo linakuja.
 
Rip😥😥😥.
Haya mlio kuwa mnafurahia maradhi yake sasa mkafungue na champagne.
Mtamkumbuka huyu Rais sana tu.
RIP Magu kapumzike kwa Amani😔😢😢
Ngoja ule ubabe wa matrafiki kupigwa makofi na kupigiwa simu ma OCD wao urudi maana tumeishi kwa kuheshimiana sana katika kipindi chote cha mzee.

Muda wa ule utaratibu wa "Unanijua mie ni nani?" kurudi kwa kasi.
 
Daah Nilitamani sana Amalize muda wake Yaani miaka yake mitano [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Upumzike kwa amani Rais wetu Jemedari John Pombe Magufuli [emoji120]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom