TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Unatakiwa kuelewa Rais wa nchi akifa huwa hawatangazi abruptly.
Lazima waweke mambo sawa kwanza isije tokea coup de tat..
Mama alikua anaandaliwa kwanza kupokea majukumu hayo na kuweka sawa usalama wa nchi.
Washaweka mambo sawa ndio maana mnatangaziwa sasa.
Wakenya kwa kenyatta ilikuwa the same ni procedure.
Alivyokuwa anaumwa walikuwa wanaficha nini?
 
Waliokua wanashikilia mwili wa Rais toka tarehe 10/3 hawakutaka hata kutoa Tangazo; pressure imekuwa kubwa na hata hizo habari za wizi na mengine imelazimika Makamu akachukuliwe haraka aje atangaze kabla ya asubuhi
This line of reasoning...!

"Toka tarehe 10/3..., hadi leo tarehe 17/3?

Very serious!
Hawa watu walikuwa wakifanya nini muda wote huo? Wamefanya nini?
 
Watanzania msiogope nchi ipo salama. Apumzike panapostahili. Nimemsamehe kwa aliyonikosea na kama pia nilimkosea anisamehe.

Hope sasa anasimamia malaika huko aliko.
 
"Lakini mimi najua, iko siku mtanikumbuka, najua mtanikumbuka kwa mazuri, si kwa mabaya, kwa Sababu nimesacrifice maisha yangu kwa ajili ya watanzania hasa watanzania maskini" #JPM
Watakumbuka waliotenda mema wakaacha alama siyo wakatili na waovu
 
Rest in peace my friend H.E Dr. John J. P. Magufuli, President of URT.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom