HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Asisingiziwe mzungu, tatizo ni ujeuri wakeR.I.P our President......"Mzungu si mtu mzuri"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asisingiziwe mzungu, tatizo ni ujeuri wakeR.I.P our President......"Mzungu si mtu mzuri"
Kwani kabla Yake Nani alikuwa anatukanwaSijui mtakuwa mnamtukana nani tena hapa jukwaan.
Kwa sababu ya ubaya wake,ni kama majambazi wanavyojua muda wowote watauawa.Huyu mzee alijua hana maisha marefu nadhani.
EeenHee!Wale wanafiki hawatapoteza muda... utasikia mama Samia ni mpango wa Mungu...
Ni swala la muda tu utashangaa
Wanafiki wachache na wachumia tumbo lazima mumkumbuke mungu wenu.Tupo tutakao mkumbuka
Mmhhh! Mkapa tena? Ngoja nisiseme sana maana jamaa ni marehemuJK mtu wa maneno maneno atatuharibia nchi tena; labda kama Mkapa angekuwa hai angekuwa ni nguzo nzuri lakini siyo huyu JK! Watu wanamkumbuka JK kwa meneno maneno ya kujisikia vizuri, hela kutoka njia za mkatomkato na mishen town lakini siyo kwa mambo thabiti ya kitaifa.
Huu ni wizi wa mchana kweupe. Hii pesa yote ya kufanyia nini!? 😳
View attachment 1728492
Wanafiki wachache na wachumia tumbo lazima mumkumbuke mungu wenu.
Nazungumzia discipline serikalini!Mmhhh! Mkapa tena? Ngoja nisiseme sana maana jamaa ni marehemu