KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Usiwachezee wanawake aisee!Tuombe mema...hopeful Mungu anajua namna ya kurekebisha na atasimama na mama Samia, thou it's hard Ila najua atashinda cha muhimu apate strong&true support kutoka kwenye inner circle.
Unamkumbuka Margreth Thatcher, Indira Ghandhi,
Goldmeir (israel), Merkal (Ujerumani)...
Sasa hapa kwetu ni Mama Samia.
Kaa utulie, utaona mambo.
Tena huyu yuko tayari sana.
Atajiwekea heshima ya kipekee sana, mwanamke wa Kwanza Barani Afrika..., huyo wa Ethiopia simhesabu.
Atulie tu, asifanye papara.
Muhimu, aachane na yale mabaya ya aliyemrithi.
Ajitahidi sana kurudisha heshima ya nchi yetu kwa kutenda HAKI bila ya hira.
Asiruhusu kamwe, wapiga dili kurudi ulingoni. Na wale fisi ndani ya chama chake asiwape nafasi.
Akamilishe miradi muhimu iliyoanzishwa kwa wakati.
Akiyafanya haya, 2025 hapati shida kurudi ulingoni, yeye kama yeye.